Nimfanyeje huyu mwajiri wangu?

Nimfanyeje huyu mwajiri wangu?

Tembulukoje

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2014
Posts
397
Reaction score
143
Wana JF, mi nafanya kazi sehemu moja hivi, nina kama mwaka mmoja na miez 8, baada ya kumaliza probation nilisaini mkataba ambao moja ya kipengele kwenye huo mkataba kilisema 10% ya mshahara wangu plus 10% kutoka kwa mwajiri wangu kitaenda PSPF, lakini sasa cha ajabu zaidi nimesoma salio PSPF nkakuta contribution imefanyika kwa miezi miwili tu ya mwanzo, miezi mingine iliyobakia contribution haijapelekwa... Nimeghadhabika sana, hii maana yake nini?

Nahitaji ushauri kabla sijachukua maamuzi ya "KIKURYA" kumkata mtu masikio, maana hata mudy ya kazi kwa sasa sina.
 
Punguza jazba mkuu..that's a very common mistake...fuatilizia kwnz kwa hr/muasibu wako...sometimes tatizo linawez kua kwa hao pspf pia
 
HASIRA HASARA
Naimani hao PSPF wanataratibu zao za kupata hiyo 10% kutoka kwa mwajiri wako. Waone watakupa suluhisho na sio kukimbilia panga jamani
 
Makosa ya kawaida sana hayo, muulize muhasibu wako tu kama malipo yote yalipelekwa, huwa anabaki na kopi ya malipo. Kama malipo yalifanyika nenda huko PSPF na hiyo kopi ya malipo utamaliza tatizo.
 
Guys, thank you very much, let me try to make a follow-up..
 
Tatizo la kawaida mi officin kwangu ndo wameweka last week.fuata taratibu kwa HR.au barua ya clearance kutoka PSPF after one month mzigo wote utaingia.mara nyingi maHR wanaweka fixed ili izalishe wale pesa
 
Back
Top Bottom