Mwalimu wa masomo ya biashara huyu hapa

Mwalimu wa masomo ya biashara huyu hapa

manher

New Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Nina shida ya kazi ya kufundisha masomo ya biashara ( o level hadi A level) , mkoa wa daresalaam , kwa masomo ya commerce na book keeping elimu yangu ni degree ya (bed com ) kutoka chuo kikuu cha Dodoma , uzoefu mwaka mmoja sasa.mawasilianao email sweya6@gmail .com or 0713423475
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom