Anaeifahamu EAGM (East Africa Glass Mart)

brazuka

Senior Member
May 30, 2014
159
254
Kama mtu anaifaham vizuri hii kampuni kuna mdogo angu kaitwa interview ya marketing and sales ijumaa. Je kazi na misharaha vinaendana!!
kwa anaefaham tafadhali.
 
Kama mtu anaifaham vizuri hii kampuni kuna mdogo angu kaitwa interview ya marketing and sales ijumaa. Je kazi na misharaha vinaendana!!
kwa anaefaham tafadhali.
Akiambiwa haviendani hataendea kwenye interview?
 
Back
Top Bottom