Graphic Designer Anahitajika

Graphic Designer Anahitajika

starlink

Member
Joined
May 18, 2013
Posts
22
Reaction score
1
Wapendwa kama kuna mtu ni graphic design pia ana knowledge ya website design hana kazi kabisa yupo tu nyumbani anaweza kunitafuta ili tufanye kazi. ila kazi ni za kutafuta kinachopatikana ndio jasho tunalogawana kama upo tayari piga 0716858618. frame ina viti tu so kama huwezi kutafuta kazi chonde subiri hapa jukwaani ningependa watu wawili tu pia wawe karibu na ubungo barabara ya kibangu.
 
Mi ni Designer mzuri,kama hujapata nipm or nitafute kwa 0717995793,but naishi Ukonga!
 
Habari wana jamiiforums, nahitaji graphic designer ambaye anajua kutengeneza mabango ya taa na yasiyo ya taa, Binafsi sina pesa ya kumlipa zaidi ni kwamba tunatafuta kazi then kinachopatikana tunagawana kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hiyo. PIGA 0757322844.
Ningependa zaidi mtu anayetoka maeneo ya ubungo.
 
Utaki kazi wewe unaanza masharti mtu atoke ubungo !! Basi poa mi nafahamu but naishi bunju nadhani sina sifa
 
Kama wewe ni graphic designer, website designer pia unajua IT related issues upo dar es salaam. wasiliana nami kupitia namba 0757322844.
 
Back
Top Bottom