Kama wewe ni graduate soma hii

mambo ya afya kivip mkuu? NGO ina address nini hasa? maana mambo ya afya ni mengi, ungejarbu kuwa specific ili na sisi tuone kama tunafit,

nawasilisha
 
graduate tumekuwa wengi... Mungu atusaidie jaman, lets create our own business
 
ungetoa ufafanuzi zaidi NGO imejikita kwenye afya kivip kutoa ushaur wa afya, afya ya mazingira au? na ungeweka na mawasiliano
 
ntaweka katiba na kadi ya usajili mda sio mrefu.tukifika kama watu kumi hivi
 
wewe ni form four leaver, sio graduate aisee.

Graduate ImageUploadedByJamiiForums1402036944.462687.jpg
Haya wakuu
 
inahusu primary health,public health occupation health na enviroment health

Aisee. Hii idea nilikuwa nayo but sikujua pa kuanzia. Ni field yangu hiyo. Ntaku-pm ili tuone tunafanyaje. HONGERA SANA MKUU
 
Back
Top Bottom