1. SALES MANAGER, AFFORDABLE HOUSING (1 POST) (Ref. No. SM/01)
The Sales Manager - Affordable Housing reports to the Director of Business Development and has overall responsibilities for...
Wanajamvi habari zenu, mimi nimekuwa nikijiuliza inakuwaje mtu unaomba hata zile nafasi za internship katika ofisi au kampuni mbalimbal wananyima, hivi hizi post nazo hamna au ni urasimu tu...
...habari za saa izi wakuu...baada ya kufanya written interview ya uhamiaji tuliambiwa majibu ni baada ya cku 7...but kwny oral interview hatujaambiwa kua majibu yatakua lini...xo mwenye taarifa...
1. SENIOR OFFICER - MONITORING &
SUPERVISION (2 Vacancies – Dar es Salaam)
Nature and scope
The successful candidate will work in the
Portfolio Management Directorate and
reports to the...
Wadau poleni na mihangaiko ya hapa na pale,
Naomba kufahamishwa kuhusu hawa jamaa zetu wa bima ya afya, coz since last time fufanye oral interview naona wamepotea mazima na hakuna public...
Mimi nimeajiriwa katika shule flani ya sekondari apa Arusha kama patron wa wanafunzi wakiume wanaoishi hapa shuleni.
Nina mwezi wa tatu kazini na sina tatizo lolote na bosi wangu sababu ni...
Jamani kwa wale wadau waliokuwa wanasubiri kuitwa kazini NHIF, watu wameshaitwa tayari na orientation wanaanza jumanne, kwa wale waliopata kazi hongereni na kwa wale waliokosa msikate tamaa till...
1.JOB DESCRIPTION
Position Title: MIS Executive x 2 Business Unit / Function Airtel Money
Job Band: Six Job Level Officer
Location: Dar Es Salaam Department Airtel Money
Written by Airtel...
Mimi ni muhitimu wa Shahada ya Maendeleo ya Jamii nina miaka miwili nipo tu mtaani nimetafuta kazi sijabahatika kupata, nimetafuta intern nimekosa na sasa naombeni mnisaidie nipate japo sehemu...
Je unamiliki computer au simu yenye uwezo wa kuingia internet?
Wajua kuwa waweza kutengeneza nayo kipato cha ziada ukiwa popote pale pasipo kuathiri kazi unayoifanya kwasasa, kwa mtaji mdogo wa...
Habari ndugu zangu wa jforum mimi ni kijana mwenzen na sina ajira ila nina utalaam wa kutengeneza simu tatizo sina ofisi. Naomba mtu yeyeto mwenye kijisehem au banda ninaloweza kufanyia shughul...
Game super market wametoa nafasi za kazi nafasi ya manager 2, mwasibu 2 , supervisor 2 , wauzaji wa kawaida 30 , managers , mwasibu na supervisor vigezo ni diploma au degree nafasi zilizobaki...
Habari zenu waheshimiwa wanajamvi nii kwamba niliandika uzi wa kuomba msaada kuhusu kupata mahali hata pa kujipatika uzoefu na kipato japo kidogo.
Nashukuru Mungu msamaria mwema alijitokeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.