Habari JF, Nahitaji kufungua account ya benk ambayo ina huduma nzuri, ya kuaminika, na inayoweza kupokea na kutuma pesa nje ya nchi bila usumbufu na makato makubwa. Naombeni mnijuze na sh ngapi...
Binafsi nachukua nafasi hii kuipongeza serikali ya JMTZ kwa kuanzisha sekretarieti ya ajira ambayo kwa kiasi kikubwa imepunguza matatizo mengi yaliyokuwa yamegubika katika sekta ya ajira hapa...
Habari zenu wanajamvi. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Institute of Accountancy Arusha (IAA) nachkua course ya Bachelor of Economics and Finance (BEF).Muda wa likizo ndo unaanza hivyo nlikua...
Wakuu form inapatikana www.restlessdevelopment.org/tanzania/volunteer. Graduate changamkieni tenda, kama form huilewi nenda ofisini kwao watakuelekeza, nyuma ya shoppers mikocheni.
​
If you...
Ndg wana JF
Wadogo zetu wengi hawana ajira, na siri ya mjini huwezi kujiajiri kama huna pakuanzia. Walio wengi ambao mimi nawafahamu wamejiajiri wameajiriwa kwa hiyo kama kampuni zao zikienda...
Kuna shirika moja nado job nami ndo in charge wa admin and finance,sasa kuna secretary ambaye hapendi nimwagize kazi na huwa ananijibu Kwa Nyodo sana nafikiria kumpiga memo ila naona ni mapema...
Nasikia kwamba miradi mingi ya maji inasimamiwa na watu ambao sio waandishi, na mkandarasi au consulting firm anapokuwa anaomba tenda huwa anatenda kwamba mshahara wa mhandisi utakuwa ni zaidi ya...
Nina rafiki yangu wa karibu ambaye ni mwalimu wa sekondari katika shule ya serikali. Amemaliza mwaka jana Masters ya MODELLING MATHEMATICS na juzi tu kaitwa akaanze kazi katika moja ya vyuo vikuu...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo,kipindi cha nyuma kidogo kuna member humu JF alisema kwamba wizara ya mambo ya ndani siku chache zijazo watatangaza ajira za upolisi kwani wameshapewa kibari cha...
Ndugu zangu uzoefu nilionao ni mkubwa sana pili ni mchapakazi sijui Nina bahati mbaya Nina degree ya management and accounting naombeni kazi jamani.
Niko mwanza.
Habari wakuu.
Naomba mwenye kujua utaratibu wa kufuatilia uhamisho wizara ya afya anijfahamishe. Je ni nani anayehusika pale ninayepaswa kumwona?
Plz mwenye uelewa naomba unisaidie ili...
Kwa walimu wenye kujiamini na wasio na kazi wa masomo mbalimbali fanya fasta nenda Tusiime kaombe kazi.
Hii ni kutokana na kuwa Mama Rwakatare wa St. Marys amechukua walimu zaidi ya kumi toka...
Kariakoo stationary is located at malimbe area in mwanza region now it looking for the competent person to fill the post of stationary secretary CONTACTS 0762825501
SUMATRA EMPLOYMENT OPPORTUNITIES , JULY 2014
The Surface and Marine Transport Regulatory Authority (SUMATRA) is a Government Regulatory Authority established by the SUMATRA Act, CAP 413...
GAS PIPELINE METERING AND MEASUREMENT ENGINEER - 2 POSITIONS
Qualifications: BSc in Instrumentation/Electronics/Gas Engineering or related field with a minimum of three years experience on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.