....Tupeane update za uhamiaji ...

....Tupeane update za uhamiaji ...

Joined
Mar 26, 2014
Posts
35
Reaction score
14
...habari za saa izi wakuu...baada ya kufanya written interview ya uhamiaji tuliambiwa majibu ni baada ya cku 7...but kwny oral interview hatujaambiwa kua majibu yatakua lini...xo mwenye taarifa zozote kwny hili atusaidie kutujuza majibu ni lini tafadhali...asanteni sana... ....
 
Mvute subira vijana, mambo mazur hayatak haraka, ila mmefoj sana vyeti
 
Back
Top Bottom