Natafuta sehemu ya kupatia uzoefu (volunteering)

Natafuta sehemu ya kupatia uzoefu (volunteering)

Joined
Oct 31, 2013
Posts
98
Reaction score
28
Mimi ni muhitimu wa Shahada ya Maendeleo ya Jamii nina miaka miwili nipo tu mtaani nimetafuta kazi sijabahatika kupata, nimetafuta intern nimekosa na sasa naombeni mnisaidie nipate japo sehemu ambayo itanifanya nipate uzoefu kwenye taaluma yangu hii niipendayo.

Ninamaanisha nahitaji sehemu nifanye volunteering!

Napendelea mikoa ya Morogoro, Pwani na Dodoma.

Natanguliza shukrani kwa msaada wako!
 
Mkuu, kwani ni lazima ukimaliza uajiliwe? Tafuta kingine cha kufanya, buni kitu ufanye
 
Back
Top Bottom