Natafuta kibanda cha kutengenezea simu

Natafuta kibanda cha kutengenezea simu

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
Habari ndugu zangu wa jforum mimi ni kijana mwenzen na sina ajira ila nina utalaam wa kutengeneza simu tatizo sina ofisi. Naomba mtu yeyeto mwenye kijisehem au banda ninaloweza kufanyia shughul zangu.

Nitashukuru sana niko Dar
 
Back
Top Bottom