lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Mimi nimeajiriwa katika shule flani ya sekondari apa Arusha kama patron wa wanafunzi wakiume wanaoishi hapa shuleni.
Nina mwezi wa tatu kazini na sina tatizo lolote na bosi wangu sababu ni mchapakazi na mwaminifu.Naishi hapa hapa shuleni sababu wamenipa chumba cha kuishi na mambo ya misosi pia wananipatia.
Tatizo linalonichanganya ni kwamba kuna kampuni nili apply kazi ya mkataba wa mwaka mmoja sasa waliniita kwenye interview na jana wamenipigia simu kwamba natakiwa niende nikasaini mkataba ili nianze kazi.
Je niendelee na u patron ambao ingawa malipo yake si makubwa sana ila nina uwezo wa kufanya kazi mpaka niache mwenyewe au niende kwenye hii kampuni iliyonipigia simu ?
Shukrani kwa wote mtakaonipa majibu