Wino umeisha mkuu
mkuu, hii thread ilikuhusu wewe binafsi kabisa, ulidhani kuna mtu angeweza kutoa mrejesho on behalf of you?Samahani ndugu zangu,kuna makosa yalinitokea kidogo wakati natoa mrejesho nakuja kumalizia samahani sana!
Habari zenu waheshimiwa wanajamvi.Ni kwamba niliandika uzi wa kuomba msaada kuhusu kupata mahali hata pa kujipatika uzoefu na kipato japo kidogo,nashukuru Mungu msamaria mwema alijitokeza kunisaidia,nilimtafuta na nikaweza kuongea nae lakin wao wanafanya biashara ktk kampun cjui inaitwa forever so ili ujiunge utoe lak tatu na nusu ndo unapata mzigo ukauze jaman me sikuwa na hzo pesa hvyo stl nipo sina kazi na kama nilivyosema nimesomea utawala wa umma,sory nimemalzia huku chn kwan kuna tatzo ktk cm yangu kama mnavyojua mchina jamani.
Habari zenu waheshimiwa wanajamvi nii kwamba niliandika uzi wa kuomba msaada kuhusu kupata mahali hata pa kujipatika uzoefu na kipato japo kidogo.
Nashukuru Mungu msamaria mwema alijitokeza kunisaidia, nilimtafuta na nikaweza kuongea nae.
Hongera sana!Habari zenu waheshimiwa wanajamvi nii kwamba niliandika uzi wa kuomba msaada kuhusu kupata mahali hata pa kujipatika uzoefu na kipato japo kidogo.
Nashukuru Mungu msamaria mwema alijitokeza kunisaidia, nilimtafuta na nikaweza kuongea nae.