Kuna mwenye taarifa kuhusu NHIF?

Kuna mwenye taarifa kuhusu NHIF?

eddocreater

Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
65
Reaction score
18
Wadau poleni na mihangaiko ya hapa na pale,

Naomba kufahamishwa kuhusu hawa jamaa zetu wa bima ya afya, coz since last time fufanye oral interview naona wamepotea mazima na hakuna public announcement yoyote ile kuhusu nini kinaendelea na tutarajie yapi na lini?
 
Duh!Na kazi washaanza walikuwa na watu wao wangu ss tufungue maduka tu mjini watuite machinga au tupige bodaboda watukamate!!!!!


Sent from Banet Iphone!!!
 
Daah..Kaka jamaa wameitwa toka Jumanne waende kusign contract..na orientation wameanza jana..!!
 
Duh!Na kazi washaanza walikuwa na watu wao wangu ss tufungue maduka tu mjini watuite machinga au tupige bodaboda watukamate!!!!!


Sent from Banet Iphone!!!

Kazi hawajaanza bana, mchakato ulikuwa wa wazi na fare, usikate tamaa pambana,
 
Back
Top Bottom