NHIF Updates

NHIF Updates

Mwanaharakati2013

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
170
Reaction score
15
Hello...

Naombeni kujuzwa Kama kuna MTU ana taarifa zozote kuhusu matokeo ya oral interview anijuze.

Than.
 
mkuu, matokeo ya oral si wiki hii wala wiki ijayo. Pengine ni mwezi wa sita mwishoni, toka imefanyika oral interview wamekuwa busy sana na kazi za ofisi hata uchambuzi bado haujafanyika. Yawezekana, baada ya bunge la bajeti. Mwenye taarifa zaidi au tofauti na hii anaweza ku-share nasi.
CC: TATIANA

via MCHUNGUZI HURU
 
Last edited by a moderator:

Mmm sasa oral wanachambua nn imekuwa written
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom