Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Natafuta kijana mwenye uwezo wa kutumia AI vizuri haswa kwenye interior design za majengo. Kama upo na ujuzi huo nitafute tufanye kazi Kazi ipo Dar es salaam hivyo ni vizuri ukiwa Dar es salaam...
1 Reactions
5 Replies
120 Views
Anonymous
Mimi ni muajiriwa wa Serikali nipo Dodoma, mke wangu aliajiriwa na Serikalini Mwaka 2022 katika halmashauri moja iliyopo Katavi kwa taaluma ya AFISA TABIBU DARAJA LA PILI. Kwa miaka takribani...
4 Reactions
15 Replies
349 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Songea, DED anazuia barua za uhamisho zilizotoka TAMISEMI au UTUMISHI, jambo ambalo ni kinyume na utaratibu wa kazi na maelekezo ya Katibu Mkuu TAMISEMI. Hali ilivyo kwa...
1 Reactions
6 Replies
114 Views
APPOINTMENT OF MEMBERS TO THE GOVERNING BOARD AND BOARD OF TRUSTEES BACKGROUND The Media Council of Tanzania (MCT) is an independent, self-regulatory body for the media industry in Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Anonymous
Niliposikia uamuzi na msimamo wa baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuhusu wageni, wakiwemo Watanzania na raia wengine wa nchi za Afrika, binafsi niliuelewa kwa mtazamo wa mstakabali wa maisha yao...
2 Reactions
1 Replies
51 Views
Anonymous
Watendaji wa Kata kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara, tunadai posho za madaraka kwa miezi 8 sasa bila mafanikio. Halmashauri ina kata 22, hivyo kila Mtendaji wa Kata anadai...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Anonymous (54df)
Kuna mjadala unaoendelea miongoni mwa wahitimu wa Health Information Science (HIS) kuhusu ajira, hali ambayo kwa sasa imefikia zaidi ya miaka sita bila hata nafasi kuonekana wazi kwenye mifumo...
0 Reactions
7 Replies
448 Views
Habari wakuu Mimi ni kijanaa mwenyewe umri wa miaka 28 mkazi wa chalinze . Nina uzoefu katika nyanja za Sales and marketing, Security, waiter na kuprint. Naombeni sana sana wakuu wajukwaa...
2 Reactions
3 Replies
132 Views
Habarini za wakati huu. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa ambao walishawahi kufanya written na oral interview za PRSR kwa upande wa kada ya afya Assistance Nursing Officer ( ANO)...
0 Reactions
2 Replies
541 Views
Anonymous
Watumishi wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Idara ya Elimu ya Sekondari, tunalalamikia kutolipwa stahiki zetu za likizo ya malipo licha ya kudai kwa muda mrefu. Kila tunapofuatilia tunaelezwa...
0 Reactions
1 Replies
74 Views
Anonymous
Kero yangu kubwa ni Halmashauri ya Mji wa Geita (Geita Manispaa), ni mwezi wa tatu sasa unaelekea wa nne, lakini watumishi wapya tulioajiriwa bado hatujapata pesa ya kujikimu, licha ya kuwa tayari...
0 Reactions
1 Replies
55 Views
Anonymous
Nina kero kuhusu mchakato wa ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira, nilifanya usaili wa mahojiano kwenye Kada ya Ualimu mwaka 2025 na 2026, nilifaulu, baada ya kufika ofisini kwao na kujiridhisha...
1 Reactions
5 Replies
167 Views
Anonymous (cb74)
Mimi ni mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Sekondari Dinyecha, Halmashauri ya Mji Nanyamba, Mkoa wa Mtwara, nikifundisha masomo ya Kiingereza na Physical Education. Nina changamoto ya kukosa...
0 Reactions
6 Replies
107 Views
Anonymous
Serikali ilitambulisha mfumo wa ESS kwa Watumishi wa Umma miaka mitatu iliyopita. Ndani ya mfumo huo kuna jukwaa la E-Utendaji (PEPMIS), ambalo mtumishi anatakiwa kuingiza majukumu yake ya kazi...
1 Reactions
2 Replies
181 Views
Wakuu saalam! Mimi nina swali tu nataka kuuliza. kuhusu utaratibu wa kirejea utumishi wa umma kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi na baadae kuacha kazi ama kufukuzwa kazi. Mimi nipo katika hilo kundi...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Anonymous
Kuna changamoto kubwa sana kwa WATOZA ushuru, hasa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, unakuta Mzabuni anachukua tenda ya mwaka mmoja, mkataba ukiisha, wale wakusanyaji ushuru (watendaji waliokuwa...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
📚✨ HUDUMA ZA KITAALAMU ZA RESEARCH NA MASOMO ✨📚 Unahitaji msaada wa Research Proposal, Project, au Notes za masomo? Niko hapa kukusaidia! 👇 🎓 RESEARCH PROPOSAL / PROJECT ✅ Muongozo wa kuandika...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Anonymous
Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamiii (CHW – Community Health Workers) katika Wilaya ya Momba, Halmashauri ya Mji Tunduma tunafanya kazi bila kupewa malipo yetu, mwezi wa nane sasa hatujalipwa posho...
1 Reactions
1 Replies
156 Views
Back
Top Bottom