Wanabodi, mimi ni kijana wa kiume wa 20's. Mkazi wa Dar, kwa sasa ninaishi mbezi magari saba. Naomba yoyote mwenye nafasi au information ya kazi msaada wako unahitajika.
Kuuza duka, storekeeper...
Vijana tupatao 436 tuliowahi kuahidiwa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kwamba baada ya kumaliza mafunzo yetu tungeajiriwa moja kwa moja, hadi sasa hatujaajiriwa...
Madaktari hospitali ya wilaya katika Halmashauri ya Mpimbwe wanadai kunyimwa malipo ya call allowance tangu Februari mwaka jana, huku wakielezwa kuwa OC haijaingiziwa fedha hizo. Hata hivyo...
Habari!
Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitano Sasa Kwa umakini na uaminifu mkubwa, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kufanyia Bolt. Akaunti ya Bolt ninayo, Pia...
Vijana wenye nguvu ,akili , jitiada tusio chagua kazi mkoa wa Ruvuma , kila pande tunakwenda kufanya kazi kikubwa malipo tuu ivyo kazi yeyote hali tupo vijana wenye umri wa miaka 23 ivyo tunataka...
Habari, naomba nianze kwa kuomba radhi kwa usumbufu. Ningependa kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye uhusiano wa kikazi au mtandao unaoweza kunisaidia. Naomba msaada wenu, wakuu. Nina miaka 23, na...
Halmashauri ya Meru (Meru DC), Mkoani Arusha, inachelewesha malipo ya pesa za kujikimu kwa walimu walioajiriwa katika Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Walimu tumekuwa tukifuatilia malipo tangu Januari...
Kwanini unatafuta ajira wakati tayari unafanya biashara au umejiajiri?
Si mlisema ajira ni utumwa, na kujiajiri ndio uhuru? 🤔
Sasa wewe mhitimu umejiajiri, una biashara yako, boss ni wewe...
Wakuu kwema?
Ndio dunia inakabiliwa na tatizo la upungufu au ukosefu wa ajira ila kama watu tunaojihurumia ni vema kuchagua mwajiri bora na si bora mwajiri.
Kuna ofisi au taasisi zina watumishi...
NAFASI ZA KAZI
SOKOSUPA COMPANY LTD inatangaza nafasi za kazi katika
E commerce app playstore na app store
SOKOSUPA TANZANIA
POSITION (Wafanyakazi wa ofisi )
1.Marketing officers (3)
2.graphic...
1. St Judy schools
2. vision fund
3. Halmashauri za wilaya
4. Akiba commercial bank
5. Tanzania commercial bank
6. Dcb bank
7. Dtb bank
8. IPP media
9. Toyota Tanzania
10 . Car & General Trading...
SokoSupa Company Ltd, kupitia mfumo wake wa biashara mtandaoni SokoSupa Tanzania unaopatikana App Store na Play Store, inatangaza nafasi za kazi zifuatazo:
Marketing Officers – nafasi 3
Graphic...
Kwanza kabisa nianze kusema hakuna kitu kinaumiza Kama kukosa mchongo
Ni nadra Sana hasa kwa mtoto wa kiume kuwa SAWA endapo Hana mishe inayoeleweka yakumpatia hela .
Juzi kati kuna mtu alileta...
Habari,
Nimemaliza chuo mwaka huu. Kwa sasa nipo Dar es Salaam, nimesoma Bachelor of Science in Taxation chuo IFM. Nina uwezo mzuri katika kutumia Microsoft Office kama Excel.
Pia nimewahi...
Mimi pia nilikuwa mfanyakazi wa Jambo Group of Companies, hivyo haya ninayoyaeleza siyo taarifa ambazo nimezisikia tu kutoka kwa watu wengine, bali ni mambo ambayo nimeyaona, nimeyapitia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.