Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Shikamooni,...Kwa muliofanya usaili wa mahojiano mwalimu wa kiswahili daraja la III C Hapo jana kwa hesabu zisizo rasimi (ambazo hazijatolewa na sektetarieti ya ajira) inaonekana nafasi 147...
0 Reactions
2 Replies
68 Views
Anonymous (fb87)
Sisi walimu wapya walioajiriwa mwaka 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma, tuliripoti kazini mwezi Februari 2026. Hata hivyo, hadi sasa hatujapokea fedha za kujikimu, huku mamlaka husika zikiwa...
0 Reactions
5 Replies
73 Views
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu kwa mwenye connection...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Anonymous
Naomba kutoa changamoto kwa Maafisa Utumishi na Ofisi ya Masijala kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuhakikisha stahiki za watumishi zinashughulikiwa kwa wakati na kwa ufanisi. Mimi ni miongoni...
0 Reactions
3 Replies
77 Views
Anonymous
Watumishi wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Chamwino, Dodoma, hatulipwi stahiki zetu kwa mujibu wa mwongozo wa Serikali. Sambamba na hilo, idadi ya siku za malipo hupunguzwa na baadhi ya stahiki...
0 Reactions
2 Replies
82 Views
1. Nahitaji Mwalim wa Physics na Mathematics anayeweza kufundisha NECTA SYLLABUS Form 1-6 KWA UBORA WA HALI YA JUU NA AKAELEWEKA. 2. Vile vile nahitaji Fundi Umeme mwenye vyeti vya DIPLOMA AU...
0 Reactions
2 Replies
195 Views
Anonymous (fa6c)
Naomba kuwasilisha suala hili kwa wizara husika kwa ajili ya uchunguzi na, ikibainika kuna makosa, hatua stahiki zichukuliwe. Kumekuwa na taarifa za vitendo vinavyodaiwa kuwa ni utapeli...
1 Reactions
4 Replies
134 Views
Tafadhali Soma Kipeprushi na uombe kama una vigezi vilivyoainishwa.
1 Reactions
2 Replies
135 Views
Habar za mda huu wadau, Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa. Ikawa kimya...
0 Reactions
12 Replies
250 Views
Tunatafuta Fundi Magari Makubwa mwenye uzoefu wa kutengeneza Engine na Gearbox za malori na magari makubwa, hususan yale ya Kichina. Sifa zinazohitajika:
• Uwe na uzoefu wa kutengeneza engine za...
1 Reactions
5 Replies
271 Views
Anahitajika Laboratory technician mwenye diploma au certificate na awe na leseni hai na metical attendant Kituo cha kazi Dar es salaam Namba ya simu kwa mawasiliano ni 0713214258
0 Reactions
1 Replies
67 Views
JOB ADVATISEMENT / VACANCY ANNOUNCEMENT. Mwita pharmaceutical and medical laboratory is new healthical organization established in mwanza city . Now it is looking for competent energetic and...
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Wakuu, naomba msaada kwa wenye uzoefu kuhusu mada tajwa hapo juu. Nimeona baadhi ya nafasi za ajira zinazotangazwa kupitia Ajira Portal, hasa upande wa ICT/Software Development, mfano nafasi za...
1 Reactions
1 Replies
73 Views
Wanabodi, mimi ni kijana wa kiume wa 20's. Mkazi wa Dar, kwa sasa ninaishi mbezi magari saba. Naomba yoyote mwenye nafasi au information ya kazi msaada wako unahitajika. Kuuza duka, storekeeper...
1 Reactions
3 Replies
74 Views
watu wanaoishi mpaka wa Tanzania na malawi, Nina kazi nataka mtu afatilie kyela lakini malipo ni makubaliano kama uko interest tafadhali ni DM.
0 Reactions
2 Replies
63 Views
Anonymous
Vijana tupatao 436 tuliowahi kuahidiwa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kwamba baada ya kumaliza mafunzo yetu tungeajiriwa moja kwa moja, hadi sasa hatujaajiriwa...
2 Reactions
10 Replies
277 Views
Anonymous
Madaktari hospitali ya wilaya katika Halmashauri ya Mpimbwe wanadai kunyimwa malipo ya call allowance tangu Februari mwaka jana, huku wakielezwa kuwa OC haijaingiziwa fedha hizo. Hata hivyo...
3 Reactions
5 Replies
153 Views
Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitano Sasa Kwa umakini na uaminifu mkubwa, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kufanyia Bolt. Akaunti ya Bolt ninayo, Pia...
0 Reactions
2 Replies
62 Views
Vijana wenye nguvu ,akili , jitiada tusio chagua kazi mkoa wa Ruvuma , kila pande tunakwenda kufanya kazi kikubwa malipo tuu ivyo kazi yeyote hali tupo vijana wenye umri wa miaka 23 ivyo tunataka...
3 Reactions
18 Replies
180 Views
Habari, naomba nianze kwa kuomba radhi kwa usumbufu. Ningependa kuuliza kama kuna mtu yeyote mwenye uhusiano wa kikazi au mtandao unaoweza kunisaidia. Naomba msaada wenu, wakuu. Nina miaka 23, na...
1 Reactions
8 Replies
122 Views
Back
Top Bottom