Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Halmashauri ya Meru (Meru DC), Mkoani Arusha, inachelewesha malipo ya pesa za kujikimu kwa walimu walioajiriwa katika Mwaka wa Fedha 2025/2026. Walimu tumekuwa tukifuatilia malipo tangu Januari...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Kwanini unatafuta ajira wakati tayari unafanya biashara au umejiajiri? Si mlisema ajira ni utumwa, na kujiajiri ndio uhuru? 🤔 Sasa wewe mhitimu umejiajiri, una biashara yako, boss ni wewe...
1 Reactions
2 Replies
71 Views
Anonymous
City institute ilala dsm wafanyakazi na walimu hatujalipwa stahiki zetu ukilalamika unafukuzwa kazi
0 Reactions
3 Replies
62 Views
Wakuu kwema? Ndio dunia inakabiliwa na tatizo la upungufu au ukosefu wa ajira ila kama watu tunaojihurumia ni vema kuchagua mwajiri bora na si bora mwajiri. Kuna ofisi au taasisi zina watumishi...
9 Reactions
103 Replies
22K Views
Mishahara midogo kazi kubwa kucheleweshwa mishahara watu huachia ndala njiani 1. Mwarabu 2. Mhindi 3. Mbongo 4. Mchina
0 Reactions
9 Replies
146 Views
NAFASI ZA KAZI SOKOSUPA COMPANY LTD inatangaza nafasi za kazi katika E commerce app playstore na app store SOKOSUPA TANZANIA POSITION (Wafanyakazi wa ofisi ) 1.Marketing officers (3) 2.graphic...
0 Reactions
1 Replies
85 Views
1. St Judy schools 2. vision fund 3. Halmashauri za wilaya 4. Akiba commercial bank 5. Tanzania commercial bank 6. Dcb bank 7. Dtb bank 8. IPP media 9. Toyota Tanzania 10 . Car & General Trading...
107 Reactions
496 Replies
37K Views
SokoSupa Company Ltd, kupitia mfumo wake wa biashara mtandaoni SokoSupa Tanzania unaopatikana App Store na Play Store, inatangaza nafasi za kazi zifuatazo: Marketing Officers – nafasi 3 Graphic...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Naomba kazi yoyote halali, nipo mkoa wa dar es salaam
0 Reactions
8 Replies
226 Views
Kwanza kabisa nianze kusema hakuna kitu kinaumiza Kama kukosa mchongo Ni nadra Sana hasa kwa mtoto wa kiume kuwa SAWA endapo Hana mishe inayoeleweka yakumpatia hela . Juzi kati kuna mtu alileta...
6 Reactions
24 Replies
386 Views
Mdada WA kichaga WA 30yrs anatafuta kazi yupo dar mbagala.
0 Reactions
4 Replies
114 Views
Habari, Nimemaliza chuo mwaka huu. Kwa sasa nipo Dar es Salaam, nimesoma Bachelor of Science in Taxation chuo IFM. Nina uwezo mzuri katika kutumia Microsoft Office kama Excel. Pia nimewahi...
4 Reactions
28 Replies
423 Views
Anonymous (694e)
Mimi pia nilikuwa mfanyakazi wa Jambo Group of Companies, hivyo haya ninayoyaeleza siyo taarifa ambazo nimezisikia tu kutoka kwa watu wengine, bali ni mambo ambayo nimeyaona, nimeyapitia na...
5 Reactions
39 Replies
599 Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa wauguzi watarajali (Intern Nurses) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, kuna changamoto kubwa tunazopitia kutoka kwa msimamizi wa mafunzo wa hospitali yetu. Tumejaribu...
1 Reactions
2 Replies
129 Views
Tuna design website na app za simu kwa ubora wa hali ya juu. Pia tunatoa huduma ya hosting Tupigie 0766771788
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Mimi ni kijana wa kiume naishi Mbezi, magari saba. Natafuta kazi yoyote halali inayofundishika.
0 Reactions
1 Replies
52 Views
Anonymous
Ninaandika makala hii si kwa sababu nimekosa kazi, wala si kwa sababu nina malalamiko binafsi dhidi ya Benjamin Mkapa Hospital (BMH). Ninaandika kwa sababu nilishiriki katika mchakato wa ajira wa...
2 Reactions
4 Replies
281 Views
Wakuu kama Kuna mtu unamfahamu Yuko Dodoma ni kinyozi anahitajika ,Kuna saloon ya kawaida inahitaji Kinyozi .ataachiwa ofisi awe anatoa kipande Kwa boss
2 Reactions
3 Replies
45 Views
Anonymous
Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHW) Tabora hatujalipwa posho zetu tangu Mwezi wa 4 hadi leo mwezi wa 9, kila siku Katibu wa Afya anasema kila kitu kipo tayari na hela ishapelekwa bank lakini...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Mimi napenda kumfichua jamaa mmoja anaitwa ALLY OMARI ZABRON anafanya kazi wizara ya elimu, huyu jamaa anawatapeli watumishi wa umma kuwa anaweza kuwahamisha kutoka sehemu waliopo na hivyo kula...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Back
Top Bottom