A
Anonymous
Guest
Halmashauri ya Wilaya ya Urambo sio Walimu tu hawajalipwa, sisi pia wa afya tulioajiriwa Februari 2026 hatujalipwa hela ya kujikimu na wakati huohuo wapo wameajiriwa Mei 2026 wamelipwa.
Tukiuliza tunambiwa fungu letu halijatoka ila maelekezo ya barua ya wazi kutoka serikali kuu hela ya waajiriwa wapya kutoka Januari 2025 mpaka April 2026 imetoka na ilipaswa walipwe na si vinginevyio.