Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous (54df)
Kuna mjadala unaoendelea miongoni mwa wahitimu wa Health Information Science (HIS) kuhusu ajira, hali ambayo kwa sasa imefikia zaidi ya miaka sita bila hata nafasi kuonekana wazi kwenye mifumo...
0 Reactions
7 Replies
451 Views
Habari wakuu Mimi ni kijanaa mwenyewe umri wa miaka 28 mkazi wa chalinze . Nina uzoefu katika nyanja za Sales and marketing, Security, waiter na kuprint. Naombeni sana sana wakuu wajukwaa...
2 Reactions
3 Replies
132 Views
Habarini za wakati huu. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa ambao walishawahi kufanya written na oral interview za PRSR kwa upande wa kada ya afya Assistance Nursing Officer ( ANO)...
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Anonymous
Watumishi wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Idara ya Elimu ya Sekondari, tunalalamikia kutolipwa stahiki zetu za likizo ya malipo licha ya kudai kwa muda mrefu. Kila tunapofuatilia tunaelezwa...
0 Reactions
1 Replies
74 Views
Anonymous
Kero yangu kubwa ni Halmashauri ya Mji wa Geita (Geita Manispaa), ni mwezi wa tatu sasa unaelekea wa nne, lakini watumishi wapya tulioajiriwa bado hatujapata pesa ya kujikimu, licha ya kuwa tayari...
0 Reactions
1 Replies
55 Views
Anonymous
Nina kero kuhusu mchakato wa ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira, nilifanya usaili wa mahojiano kwenye Kada ya Ualimu mwaka 2025 na 2026, nilifaulu, baada ya kufika ofisini kwao na kujiridhisha...
1 Reactions
5 Replies
174 Views
Anonymous (cb74)
Mimi ni mwalimu wa kujitolea katika Shule ya Sekondari Dinyecha, Halmashauri ya Mji Nanyamba, Mkoa wa Mtwara, nikifundisha masomo ya Kiingereza na Physical Education. Nina changamoto ya kukosa...
0 Reactions
6 Replies
107 Views
Anonymous
Serikali ilitambulisha mfumo wa ESS kwa Watumishi wa Umma miaka mitatu iliyopita. Ndani ya mfumo huo kuna jukwaa la E-Utendaji (PEPMIS), ambalo mtumishi anatakiwa kuingiza majukumu yake ya kazi...
1 Reactions
2 Replies
182 Views
Wakuu saalam! Mimi nina swali tu nataka kuuliza. kuhusu utaratibu wa kirejea utumishi wa umma kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi na baadae kuacha kazi ama kufukuzwa kazi. Mimi nipo katika hilo kundi...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Anonymous
Kuna changamoto kubwa sana kwa WATOZA ushuru, hasa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, unakuta Mzabuni anachukua tenda ya mwaka mmoja, mkataba ukiisha, wale wakusanyaji ushuru (watendaji waliokuwa...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
📚✨ HUDUMA ZA KITAALAMU ZA RESEARCH NA MASOMO ✨📚 Unahitaji msaada wa Research Proposal, Project, au Notes za masomo? Niko hapa kukusaidia! 👇 🎓 RESEARCH PROPOSAL / PROJECT ✅ Muongozo wa kuandika...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Anonymous
Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamiii (CHW – Community Health Workers) katika Wilaya ya Momba, Halmashauri ya Mji Tunduma tunafanya kazi bila kupewa malipo yetu, mwezi wa nane sasa hatujalipwa posho...
1 Reactions
1 Replies
160 Views
Habari wakuu wa JF, Naitwa Mustapha Komba, kijana wa Songea, kwa sasa nipo nyumbani baada ya masomo yangu ya shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe. Kwa sasa sina kazi...
0 Reactions
26 Replies
350 Views
Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe...
0 Reactions
8 Replies
196 Views
Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe...
0 Reactions
16 Replies
197 Views
Anonymous (d6ac)
Halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama tumelipwa posho ya kujikimu kwa 100%. Tunashukuru viongozi wa Halmashauri na OWM-TAMISEMI kufanikisha hili. Kazi iendelee!
0 Reactions
1 Replies
97 Views
Anonymous (9a11)
Habari, kuna changamoto moja inayotukumba sisi tuliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya PALMPAY, inayojihusisha na utoaji wa mikopo kwa njia ya simu. Mnamo tarehe 20/7/2026, baadhi yetu tulisimamishwa...
1 Reactions
3 Replies
84 Views
Job Overview The Fraud Analyst 24/7 will be responsible for detecting and preventing fraud through continuous monitoring of fraud alerting systems for M-PESA and GSM services. The role focuses on...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Back
Top Bottom