Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Nahitaji mschana fundi nguoTuma CV yako hapa: dianelicious01@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemia wa level ya degree natafuta kazi ya ualimu shule yoyote ya private Morogoro mjini, Dsm, Dodoma, Tanga au Bagamoyo, kwa sasa nipo serikalini kwa miaka saba sasa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wadau mi ni mmojawapo ya vijana walioajijiri.. nadili na promotional printing, nina amini kuna vijana wengi sana wameajijiri indutry tofauti tofauti kama kilimo, usafirishaji, consultancy...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar,mie ni msichana wa miaka 20 mwenyeji wa arusha kwa sasa Niko dar natafuta kazi ya kuuza duka, naomba unisaidie namba ya kunipata ni 0769456582
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Nahitaji fund wa kunitengenezea laptop zangu tatu kwa mafundi was mbeya ambao wanajiona wako vizuri kwenye ufundi Aliyetayari ani PM na nipo tayari kwa garama zozote
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta kazi nimesomea fani ya electronic na mawasiliani. tutafutane kwa namba 0714582133
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu wanajamii forum nimekuwa nikituma maombi ya kazi kwa muda mrefu sana lakini naona bado sipati hizo kazi sasa naomba ushauri kwani wenzangu mnatumia njia gani maana mambo kwangu...
1 Reactions
43 Replies
32K Views
Hello, Tunatafuta msichana wa kuuza duka la spare parts lililoko Mbezi. Msichana awe na vigezo vifuatavyo: 1) Awe mcheshi Na mpenda watu 2) ajitume na awe mpenda kazi 3) Awe mchapa kazi na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mnaendeleaje na michakato wadau! Mimi ni kijana, graduate wa shahada ya kwanza ya uhandisi mazingira 2015, Ardhi university. nashukuru Mungu kwa kumaliza chuo salama na hata hii zawadi ya uhai...
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Habari wana jf.mimi ni binti mwenye umri wa miaka 20. Lengo langu ilikuwa ni kufika mbali kielimu ila nlishindwa kutokana na vikwazo ambavyo vilijitokeza baada ya kumaliza darasa la saba.hata ivyo...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Mm ni msichana wa miaka 24 natafuta kazi km waitress kwenye mahotel uzoefu wangu ni miaka miwili.. Naishi Dar es salaam Kinondoni B.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana JF Naomba muongozo juu ya vigezo na masharti ya kuomba tenda
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani mdogo wangu ni Mwalimu na amemaliza degree ya Elimu akichukua B.Education (Kiswahili). Anafundisha secondary ila angependa kubadili afundishe chuo cha ualimu. Ni taratibu gani za kufuata?
0 Reactions
6 Replies
6K Views
============== Habari iliwekwa kwenye hii thread=>Nafasi za kujiunga na mafunzo ya JKT 2016
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Yaani watu wanakupigia simu kwa ajili ya interview lakini hawasemi wao ni kina nani badala yake wanataka uwatajie sehemu ulizoomba ili nao wajitaje! Sasa utakuta mtu nimetuma maombi sehemu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Accounting & Business Management Tutors Job in Dar Es Salaam, Tanzania Accounting & Business Management Tutors Job in Dar Es Salaam, Tanzania Urgently Required. Apply via : vacancy@emerson.ac.tz
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Kwa walioko tayari kuanza kazi tarehe 4 Aprili, 2016 wafike ofisini kwetu kwa usaili mfupi tupo Kinondoni Barabara ya mahakama kuna jengo la ghorofa lililojengwa kwa tofali za kuchoma, tupo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wadau naulizia kama mwalimu commercial bank wameanza kuita usaili au bado maana wapo kimya sana tujuzane ukweli
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta msichana wa kazi za ndani mshahara laki 5 kwa mwezi. kwa maelezo zaidi nicheki namba hii 0717966128 whatsp au meseji
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom