Natafuta msichana wa kazi

simba songea

JF-Expert Member
Feb 8, 2016
1,498
1,214
Natafuta msichana wa kazi za ndani mshahara laki 5 kwa mwezi. kwa maelezo zaidi nicheki namba hii 0717966128 whatsp au meseji
 
MREJESHO;

Kwanza niwashukuru wote mlionitumia meseji nashukuru kwa ushirikiano wenu...
Msichana wa kazi ameshapatikana na leo alikuwa anajaza form ya mkataba wa kazi pamoja na makubaliano ya malipo yaani mshahara laki tano(500000Tsh). Ameanza kazi rasmi leo.

Nimeingia nae mkataba wa malipo ya 500000 tsh, ila makubaliano yetu nitamlipa 300000(laki 3) kila tarehe 15 katikati ya mwezi na 200000(laki 2) nammalizia mwishoni mwa mwezi yaani kila tarehe 25.

Nawashukuru wote mlioshiriki na mnaoendelea kunitumia meseji zoezi limeshakamirika msitume tena. Kama nitahitaji mwingine nitawataarifu humuhumu jf. ASANTENI.....
 
Hongera na asante kwa mrejesho
 
Nanuonea huruma huyo dada aliyepata hiyo kazi, tamaa zitatuponza kwakweli hata housegirl wa magu hapati hiyo 5k
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom