Vijana waliojiajiri tu, networking group

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,329
habari wadau

mi ni mmojawapo ya vijana walioajijiri.. nadili na promotional printing,

nina amini kuna vijana wengi sana wameajijiri indutry tofauti tofauti kama kilimo, usafirishaji, consultancy etc..

ni vizuri tukaungana kwa kujua fulani anafanya nini na anapatikana wapi..

hii itasaidia sana hata kukuza masoko yetu, maana ukiwa na shida ya bidhaa flani rahisi kumchek mwana anayodili nazo badala ya kwenda kuwaungisha wahindi au watu wengine..

maana nina imani graduates aliejiajiri anafanya kitu kwa ubora zaidi ili afanikiwe.....

so kwa mahitaji ya kuprint t shirts, miamvuli, mabango, kofia, leso, vitambulisho, wheelcovers, zenye ubora wa hali ya juu msisite kunishtua..


ningependa kujiunga au kutengeneza group la graduates waliojijiri tu.. kukuza network za biashara zetu.

instagram business account ni tshirt garage mabibo hostel
 
Back
Top Bottom