mwalimu commercial bank wameanza kuita

kichwabox

Senior Member
Feb 14, 2016
152
40
wadau naulizia kama mwalimu commercial bank wameanza kuita usaili au bado maana wapo kimya sana tujuzane ukweli
 
Deadline ndio kwanza ilikua week hii jumatatu sasa wataiteje leo......subiri hila week ijayo wanaweza kuanza kuwafikilia
 
wadau naulizia kama mwalimu commercial bank wameanza kuita usaili au bado maana wapo kimya sana tujuzane ukweli
We jamaa hauko serious kabisa aisee
yaan deadline imeisha juz tu....we unafikir uliomba peke ako?barua/email mpaka waanze kuzichambua unafikir ni kaz ya cku tatu??embu kuwa serious man
 
jamani mnavyowatetea utadhani watakuwa fair haya ngoja tusubiri tuwaone maana mmewatetea sana
 
Back
Top Bottom