Natafuta kazi ya uwaitress

Anna Mwakalinga

New Member
Mar 22, 2016
3
1
Mm ni msichana wa miaka 24 natafuta kazi km waitress kwenye mahotel uzoefu wangu ni miaka miwili.. Naishi Dar es salaam Kinondoni B.
 
We ni mwanamke wa bara?mana wanawake wetu wa mjini walivyowazur akienda hotel yoyote kazi anapata.
 
Ustaarabu kitu cha muhimu hayo maswala ya ubara au upwani yanatoka wapi km huwezi kutoa msaada si upite tu wala cjalazimisha mtu kureply km huna msaada wakile nilichopost
 
Ingia zoom tanzania dada kule kuna waajiri wanaitaji watu wa kada yako na nafasi zpo bila shaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom