singlerashid
Member
- Feb 15, 2016
- 12
- 1
Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemia wa level ya degree natafuta kazi ya ualimu shule yoyote ya private Morogoro mjini, Dsm, Dodoma, Tanga au Bagamoyo, kwa sasa nipo serikalini kwa miaka saba sasa.
MKUU HUKO SERIKALINI KUNA CHANGAMOTO GANI INAYOKUPELEKA PRIVATE?Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemia wa level ya degree natafuta kazi ya ualimu shule yoyote ya private Morogoro mjini, Dsm, Dodoma, Tanga au Bagamoyo, kwa sasa nipo serikalini kwa miaka saba sasa.