Msaada,, nahitaji fundi wa kunitengenezea laptop zangu kwa waliyoko mbeya tu

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
1,251
709
Habari zenu wakuu
Nahitaji fund wa kunitengenezea laptop zangu tatu kwa mafundi was mbeya ambao wanajiona wako vizuri kwenye ufundi
Aliyetayari ani PM na nipo tayari kwa garama zozote
 
Back
Top Bottom