Yaani watu wanakupigia simu kwa ajili ya interview lakini hawasemi wao ni kina nani

Mlalahoi Mlalahai

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
399
146
Yaani watu wanakupigia simu kwa ajili ya interview lakini hawasemi wao ni kina nani badala yake wanataka uwatajie sehemu ulizoomba ili nao wajitaje! Sasa utakuta mtu nimetuma maombi sehemu nyingi, nisipowamention je? Au ukiona hivi ujue ni matapeli?
 
Usalama wa Taifa hao
 
hao mara nyingi huwa ni usalama wa taifa. kuna jamaa yangu nipo nae job department 1 akat yupo mwaka wa mwisho udsm alipigiwa simu kuitwa kwenye interview jamaa hawajasema ni kina nan.. akapuuzia akaona ni matapel maana walimwambia asimwambie mtu.. ye hakuenda kumbe kunawengne walipigiwa wakaenda na wakafuzu.. kaja kujua baadae.. afta kumeet na waliofuzu... akabak kujilaum.. so usikatae wito.. chukua tahadhari zote kapige.. kwan unalipia? au wamekuomba hela? kama wamekuomba hela matapel
 
Back
Top Bottom