Msaada wadau

godin

Member
Mar 12, 2016
14
3
Mnaendeleaje na michakato wadau!
Mimi ni kijana, graduate wa shahada ya kwanza ya uhandisi mazingira 2015, Ardhi university. nashukuru Mungu kwa kumaliza chuo salama na hata hii zawadi ya uhai anayoendelea kunipatia. Wadau, tangu nimalize chuo mchakato ya ajira imekuwa changamoto kwangu hivyo naomba msaada aliye na connection na consultants za mazingira na engineering, construction sites na hata kazi ambazo sio professional yangu naweza fanya ili nipate kipato cha kuendesha maisha wakuu.natanguliza shukran zangu # 0654907899
 
Back
Top Bottom