Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kuna changamoto hapa, kuna chuo kinaitwa Tumaini kipo iringa(yaani University of Iringa) kwa muda wa miezi kama mitatu Wafanyakazi wa hapa hatujalipwa mishahara. Malipo yetu yanategemea mpaka...
0 Reactions
1 Replies
35 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
22 Reactions
5K Replies
446K Views
Mwenye PDF au Excell inayoonyesha scale za mishahara za serikali na taasisi zake ,Please share Nimeshangaa CAG anasema mshahara wake ni 4 .7M Pia range ya mishahara ya Directors wa taasisi
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kiume,mwaminifu na mchapakazi,umri miaka 33,nipo mkoa wa kagera. Ninaomba kazi ya kuuza duka la jumla,sheli,maduka ya spea,udereva(endapo nitafundishwa) Nina uzoefu na mambo ya...
3 Reactions
8 Replies
139 Views
🚨 JOB VACANCY | HEAD OF FUEL MANAGEMENT Dangote Industries Limited is seeking an experienced and results-driven professional to join its Mtwara Plant as Head of Fuel Management. 📍 Mtwara...
0 Reactions
3 Replies
150 Views
Compressed Natural Gas (CNG) Operations Engineer / Station Manager Job Vacancy at Lindi Graphite Technology Ltd Location: Lindi Region, Tanzania Employment Type: Full-Time Hands-on experience...
0 Reactions
2 Replies
108 Views
Habari ndugu watanzania. Ni imani yangu kuwa mu buheri wa afya. Katika mfumo wa uongozi wa elimu huwa kuna afisa elimu (mkoa, wilaya) ambapo chini yake wanakuwepo wakuu wa idara mbalimbali mfano...
2 Reactions
55 Replies
19K Views
Napenda kuwasilisha hoja kuhusu changamoto inayowakabili Wahadhiri wengi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini katika mchakato wa kupandishwa vyeo. Kwa sasa, Wahadhiri wengi wamekwama kutokana na...
1 Reactions
8 Replies
351 Views
Habari za mapambano Wanamembers.Kama ulikuwa unafanya kazi chini ya halmashauri ukahamishiwa wizarani mshahara unabadilika? Mfano ulikuwa mwalimu na ukahamishiwa wizara ya elimu ,je mshahara...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na...
5 Reactions
23 Replies
338 Views
Wakuu, naomba uzoefu na facts kutoka kwa watu waliowahi au wanaofanya kazi kwenye taasisi mbalimbali Tanzania, hasa kwenye eneo la Procurement/Supply Chain. Kuna taasisi ambazo kwa nje zinaonekana...
1 Reactions
0 Replies
69 Views
Mkuu wa Shule ya Nyampulukano Secondary pamoja na Walimu watatu wameshtakiwa kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka, kugushi nyaraka na kumdanganya mwajiri, lakini mpaka leo Mkuu wa Shule yupo...
6 Reactions
13 Replies
203 Views
Habari wakuu, Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira. Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu...
8 Reactions
39 Replies
590 Views
Wakuu eti wizarani kama wizara ya fedha mshahara ni shngp wanalipa
1 Reactions
24 Replies
6K Views
1.TRA 2.NSSF 3.PSSSF 4.BOT 5.UDSM 6.DAWASA 7.TANESCO 8.MUHIMBILI HOSPITAL 9.IKULU 10.CRDB BANK 11.TISS 12.Police 13.PSRS 14.NHIF 15.CCM 16.NIDA 17.Wasafi media 18.clouds media Staff wa hizo...
9 Reactions
57 Replies
1K Views
Kutokana na gharama za maisha kuwa kubwa,nimekuwa nikipambana kupata kazi ya ziada hasa online ili kuendana na mahitaji maan mishahara haitoshi,lakini imekuwa ngumu kupata hizo websites za kweli...
0 Reactions
1 Replies
71 Views
Ofisi ya Rasilimali Watu inapenda kuwatangazia wafanyakazi wote fursa za ajira mpya za Passenger Service Officer - PSO (160). Mambo Muhimu ya Kuzingatia: 1. Sifa za Elimu:Kuanzia Kidato cha...
1 Reactions
2 Replies
195 Views
Anonymous
Kampuni ya ulinzi ya Insight, iliyopo Dar es Salaam, ina askari wanaofanya kazi katika mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi. Kwa sasa, baadhi ya askari wanaelezwa kuwa mikataba yao inasitishwa kutokana...
0 Reactions
1 Replies
75 Views
Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA Ndugu Viongozi, YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU HALI YA PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WALIOPANGIWA...
2 Reactions
0 Replies
64 Views
Ninaomba kuwasilisha kero yangu kuhusu mchakato wa uhamisho katika Mamlaka za Serikali za Mitaa. Niliwasilisha ombi la uhamisho kupitia mfumo wa Employment Self Service (ESS), kutoka Halmashauri...
0 Reactions
2 Replies
70 Views
Back
Top Bottom