Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.

NB: Depo ya kihangaiko ya mvua ni balaa wazee. Jiandaeni kisaikolojia. Sijawahi kupiga hiyo, ila atleast kwa mazingira flani nimewahi kuona.
Yaaani haitabiliki vijana wenye sifa zao wataitwa kwa simu tusitegemee sana PDF
 
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.

NB: Depo ya kihangaiko ya mvua ni balaa wazee. Jiandaeni kisaikolojia. Sijawahi kupiga hiyo, ila atleast kwa mazingira flani nimewahi kuona.
Jibu ya hii Thread atupe Mr Bachelor ll
 
Sijui kwa wengine aisehe ila ni kheri ufanye depo kipindi Cha mvua si kipindi Cha jua Kali na vumbi alloh! Sifa morali tu depo mvua angalau.
experience pekee niliyoipata ni depo ya jkt, ya jua kali (Kanembwa JKT) na upepo wa kuleta usingizi japo hakuna muda huo...
Ila ile ya mvua wazee, siijui ladha yake ila nimeshuhudia kuruti walivyokuwa wanateseka pale Msata
 
Sasa hivi standard za mafunzo ni za moto, acha wapakimbilie japo kwa wavumilivu na wanaolipenda jeshi hakuna shida.

Tatizo ni wale wapenda ajira na sifa. Moto watauona
Hakuna anayepakimbilia au anayeogopa kwa kuwa system ndo ipo hvyo, lazima watu waende, wengine walisake bakabaka na wengine watoroke....

Hiyo ipo hivyo miaka yote, hatakama kuna lower standards za mafunzo
 
Back
Top Bottom