Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Natafuta fundi Pikipiki location Kunduchi Duka ni jipyaa tutamlinda kwa posho mpaka pachangamke 0657736223
0 Reactions
0 Replies
14 Views
salaam wakuu. Nimefungua akaunti ya ajira portal tangu mwaka jana, taarifa zote muhimu(CV)nimeweka na imekamilika kwa asilimia 98. Changamoto nipale ninapotaka ku apply nafasi za kazi inaniandikia...
1 Reactions
14 Replies
263 Views
Walimu tulioajiriwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu (Kasulu DC) mwezi Julai 2025 bado hatujathibitishwa kazini hadi sasa. Hatujapewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa uthibitisho...
0 Reactions
0 Replies
16 Views
Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya...
0 Reactions
0 Replies
11 Views
Anonymous
JamiiForums tunaomba mtusaidie kupaza sauti Watumishi wa Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyang`hwale, ajira za August 2025 na January 2026 mpaka leo hatujalipwa fedha zetu za kujikimu licha...
0 Reactions
2 Replies
121 Views
Mwanzoni mwa mwezi huu niliandika hapa kuwa Wafanyakazi katika Chuo cha Afya Mvumi (Mvumi Institute of Health Sciences – MIHS) kilichopo Mvumi, Dodoma tunaomba msaada na uingiliaji wa mamlaka...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
Wanabodi, mimi ni kijana wa kiume wa 20's. Mkazi wa Dar, kwa sasa ninaishi mbezi magari saba. Naomba yoyote mwenye nafasi au information ya kazi msaada wako unahitajika. Kuuza duka, storekeeper...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
Customer Relationship & Operations Officer at Mixx by Yas – Dar es Salaam Job Overview Mixx is hiring a Customer Relationship & Operations Officer based in Dar es Salaam. Requirements University...
2 Reactions
2 Replies
179 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
22 Reactions
5K Replies
444K Views
Jamani ni Mimi tu sipati Kazi ama kila kitu ni connection , mwenye kazi aniajiri wajameni 🙈🤲🤲
7 Reactions
20 Replies
286 Views
Nilibahatika kufaulu written interview ya kule sekreatieti ya ajira na nikafanya Oral interview. Lakini hadi sasa sijaiona jina langu kwenye mikeka inayotoka. Mwalimu wa Primary ngazi ya...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwema Kuna changamoto nimeipata kwangu ni mpya na sielewi niitatue vipi au niende wapi ama napaswa kusubiri. Ni kuhusu malipo ya mshahara wangu, wenzangu walilipwa mapema kabisa mwezi huu. Mimi...
2 Reactions
13 Replies
220 Views
Kwa walio interested na kuearn real extra income, kuna AI training jobs zinazolipa from $12/hr to 150/hr kulingana na expertise kwenye field husika. Kuna various fields za kila aina mfano law, IT...
0 Reactions
2 Replies
61 Views
Anonymous
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakumba watumishi wa umma, hususan wa ajira ya mwaka 2015 kada ya elimu katika baadhi ya halmashauri, nikitolea mfano Wilaya ya Lushoto. Kumekuwa na tatizo la...
0 Reactions
1 Replies
149 Views
Anonymous
Watumishi wapya wa Idara ya Afya walioajiriwa mwaka 2025/2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, hatujalipwa fedha zao za kujikimu hadi sasa. Kila tunapofuatilia malipo yetu...
0 Reactions
4 Replies
124 Views
Anonymous
Nimeona Wizara ya Afya imeanzisha programu za Higher Diploma (NTA Level 7) katika maeneo ya Anaesthesia kupitia MWACHAS, na Midwifery kupitia MUHAS. Hili ni jambo zuri na hatua kubwa katika...
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Wakubwa nataka kujua higher diploma huwekwa kundi lipi wakati wa kuomba ajira serikalini?
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Hello JF, Natafuta school Nurse, mwenye good recommendation kindly PM me kwa kunitumia CV. Qualification - Diploma in Nursing and has to be a registered Nurse. Asanteni.
3 Reactions
8 Replies
141 Views
Anonymous
Napenda kuwasilisha changamoto ambayo imekuwa ikiwakabili baadhi ya watumishi wa umma wanaotafuta uhamisho kutoka taasisi moja kwenda nyingine kwa kufuata taratibu zilizowekwa. Katika hali yangu...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Huu ni Waraka kutoka kwa katibu mkuu. Hii iwaendee Supervisors Maafisa utumishi HR na Wakurugenzi malalamiko yetu watumishi ya kucheleweshwa kwa maombi ya uhamisho sasa yamemfikia mh. KATIBU...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Back
Top Bottom