Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 425
- 1,124
Habari wakuu...nimeona story ya kijana akielezea wema ulivyotaka umponze eneo la kazi
1. INTRODUCTION: SHAVU In 2015
mwishoni nikiwa 3rd year nlipata shavu mahala in a private company.
So i started as a volunteer after 5 months nikawa sidelined for an interview and mostly walioapply walikua ni waliokwisha graduate unlike me. So the day ambayo we were suppose to sit for an interview nikaitwa and on my surprise nikapewa mkataba wa muda mfupi.
(In a few mins, you'll see why I shared this part of the story). Ilikuwa ni shavu, bse nilikuwa naishi maisha ya kazi na chuo pamoja. 1st month in my employment mambo yalikua fresh tu ila 1st month akaletwa mdada mgeni. We were later informed that she was a volunteer
so tukampokea vizuri na induction program ikaanza and she was supposed to be reporting kwangu.
2. LIFE WITH "THE VOLUNTEER"
Maisha yetu ya kazi na bibie yalikuwa poa tu. And as someone who was once a rookie too,i was trying my best to make her feel welcomed and comfortable bse
hata mimi wakati nafika nilikua simfahamu mtu yeyote but these new strangers treated me like their own so nilijifunza hiki pia. One thing about being a volunteer au intern kuna some areas unakosa access so unabaki kupangiwa activities zingine (company policy issues).
3. UGONJWA USIOJULIKANA
Kuna siku nlikua na test chuo, ila nilikuwa naumwa vibaya sana na najiona sipo sawa, nlivyotoka nikaenda hospital ya jirani na nikaambiwa sina tatizo lolote labda uchovu tu.Nikiwa hospital the lady wa ofisini akanipigia kuomba ruhusa aende kwao kwa kuwa ana dharura, nkamkubalia na mimi pia nilivyotoka hospitali, nkarudi home kulala.