Kwani kuna haja ya kulazimisha mawasiliano?

Aiseee mimi wanaume wengi mnanishangaza sana sijajua mnatuchukuliaje sisi wanawake kwamba tu warahisi sana ama

Nishakutana na hayo mavitu mpk ninachoka hivi kuna ulazima gani wa kulazimisha mawasiliano na mtu ambae hataki

Unakuta mtu unatuma sms hujibiwi unaendelea kutuma haitoshi unapiga na simu kila saa napo nikipokea badala uongee ulichotaka kusema unaniuliza et kwanini sijibu sms zako

Mwisho wa siku mnatuona wanawake tunadharau kisa hatujibu sms zenu

Ubaya zaidi unakuta namba sikukupa umetoa kwa mtu… sijakataa kwamba msitutafute kinachoboa ni kwamba hizo sms mnazotumatuma halafu namba ngeni mimi sikujui unanipigia tu unaniuliza mbona hujibu sms kwani uliniwekea vochaa

Halafu mwanaume serious hawagi hivo ni matapeli tu hawa kiukweli hii tabia inanikera

Mtu kunitumia tumia sms mambo mambo hello hello kila dakika kama mtu hujibiwi sms ya kwnza si unavungaa

View attachment 2704718
View attachment 2704719
View attachment 2704720
View attachment 2704721
amejuaje namba yako ya simu?
 
ni kweli upunguze zarau bebi
 
Sawa tumejua unatumia iPhone, ni iPhone ngapi ?
20230731_084634.jpg
 
Huna lolote wewe kaa kutulia unasumbuliwa na watoto sio wanaume, mwanamume hafanyagi huo ujinga unaosemea ila watoto wa kiume wa rika lolote

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
amejuaje namba yako ya simu?

Hilo swali na mimi najiuliza then namba yangu alionitafutiaa hkuna mtu wa mtaani nilimpa nakumbuka ni fundi tu alikuwa anatengeneza home hapa ndio alikuwa nayo sasa najiuliza ni yeye kampa maana hata huyo fundi tangu amalize kazi yake sijawahi wasiliana nae
 
Wapo wanawake pia wanaokuwa wanalazimisha kutuchatisha baadhi ya Wanaume hata kama hawapo kabisa katika hisia zetu. Kibaya zaidi, wanawake hujiona wana haki ya kukubaliwa tu tofauti na wanavyowachukulia wanaume.

yaani hujichukulia they deserve everything at anytime from men no matter what
 
sasa mtu unakutana nae barabarani hakusemeshii tena anakupita kama mshale halafu kwrnye simu anasumbua watu

Halafu anakwambiaa unaringaa
Huyo mkaka ni kwamba humtaki tu, haujavutiwa naye kimapenzi, pamoja na kukukaushia barabarani na kukusumbua kwenye simu, ungekua unampenda, hapa story ingekuwa tofauti

Huyo mwanaume huenda akawa sio tapeli, huenda yupo serious na ana nia nzuri na wewe, ila kwasababu huna hisia nae na wanawake mnapendaga kukompliket mambo, hizo factors zinakupofusha usione userious wake kwako, mm nshawahi kuwa kwenye viatu vya huyo jamaa unae-chat naye..

Kuna wadada wawili hapa mtaani nilichukua namba zao toka kwa marafiki zao wa karibu, kwenye kuchat walinijibu vibaya na matusi nikatukanwa juu, ilhali kiukweli nlikuwa na nia nzuri nao..

Factor hapa ni kwamba we humpendi huyo jamaa ndio maana unamuona msumbufu

mamamzungu
 
ndio mkuu mwanamke ana haki ya kukukataa, mapenzi hayalazimishwi
 
Back
Top Bottom