Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za muda huu wanajamvi!. Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika. Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja...
40 Reactions
269 Replies
16K Views
Ndio hivyo Kwani uongo?? Tatizo hamtusikilizagi Na wote mnaotusikiliza mnatoboaga Sana kimaisha 1 Peter 3:7-9 New Living Translation (NLT)In the same way, you husbands must give honor to your...
21 Reactions
154 Replies
6K Views
Shout out kwa wale wote ambao bado wana imani katika mapenzi ya kweli! Katika mahusiano au ndoa kuna ups & downs ambazo huja na kupita. Impact za hizi ups & downs inategemea na stability ya...
2 Reactions
47 Replies
9K Views
Natafuta mchumba kuanzia miaka 20 kuendelea mimi nina miaka 26.
1 Reactions
12 Replies
758 Views
Kwa mujibu wa utafiti Hizi ndio Staili zinazotumiwa sana na wamaume wakati wa kupeleka Moto. https://twitter.com/stats_feed/status/1700354024862540003?t=dIJWK4ou9gPj-Y-caHp6hg&s=19
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!. Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute...
3 Reactions
11 Replies
981 Views
Wapendwa hamjambo? Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba...
23 Reactions
399 Replies
44K Views
Ukweli ni kwamba wanaume tumekuwa wahanga wa kusingiziwa na wanawake na jamii ikaamini ni kweli, inapotokea mwanaume ukasingiziwa na mwanamke kuhusu jambo lolote lile jamii huwa inamwaamini...
18 Reactions
30 Replies
3K Views
Honey[emoji860] Honey njoo basi kipenzi. Najua umeshatafuta hela ya Mahari Njoo sasa Tujenge familia
17 Reactions
88 Replies
4K Views
Kwa wale tunaoishi na wenza wetu, unaombaje penzi kwa mke/Mwenza wako usiku au muda wowote ukihitaji? Mi kwangu Simple tu tukiwa kitandani, tumekumbatia au kulala nikimpiga piga paja ile kishkaji...
19 Reactions
215 Replies
33K Views
Tumpe ushauri huyu dada. Ndoa yangu ina miaka 7 ila uhusiano wetu una miaka11. Nina watoto 2 na sasa ni mama kijacho. Mwaka Jana mwishoni nilipata kuwashwa ukeni nikaenda kupima nikaambiwa nina...
11 Reactions
370 Replies
26K Views
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Leo rafiki yangu wa tangu tukiwa watoto alinipigia simu kwamba anataka tuangalie mpira pamoja na ana jambo ambalo anataka nimshauri, hivyo basi nitafute...
19 Reactions
94 Replies
8K Views
Hellow Wadada mnahangaika sana kwenda hospital kununua dawa za UTI sugu wengi mnaangaika kununua marashi ili kwabibi kusiteme harufuku ushauri wanguu fanyeni mtindi ndio kinywaji chenu achaneni...
20 Reactions
235 Replies
12K Views
Kuna mwamba amenicheki jana, akawa na malalamiko yake ana mdate dada wa miaka 37, na yeye mwamba ako na miaka 45 Sasa kero yake moja tu, anasema wame date kwa miezi 6, juzi dada anamwuliza huyu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kumekuwa na majidala mingi sana juu ya size ya maumbile uume. Wanawake wamefika mbali sana na kuanza kuita baadhi ya wanaume wenye uume mdogo kuwa ni vibamia. Ukweli ni kwamba size nzuri na...
0 Reactions
1 Replies
471 Views
Anyaashimika! Kama kichwa kinavyoji express. Ipi sababu ya msingi ya kunilazimisha nioe kama kijana? Leo tuvunje ukimya tuongee kikubwa. Huu ubishi na utata wa kwa nini nioe au nisioe basi uishe...
7 Reactions
158 Replies
6K Views
Hii ni kutokana kwamba psychologically mwanaume ameumbwa kupenda ngono hivyo huvutiwa zaidi na wanawake wanaoonekana kujua kusex zaidi. So mwanamke Malaya anaonekana kuwa na Experience zaidi ya...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Yaani mimi kutumia tu hela yangu kwa matumizi yangu naona naumia. Je, Kwa kumtafutia viza, kumsafirisha mpaka London mtoto wa mama mkwe, kufunga nae harusi, kumlea na kumsomeshea mwanae...
20 Reactions
257 Replies
17K Views
Hello, Nichukue fursa hii kuwaasa waluojipumbaza kwa kushabikia kuoa na ndoa, kama mnapenda sana kuoa basi chunga sana wanaume wanaoingia mkenge Kwa kuoa wanawake micharuko wengi wameishia kufa...
3 Reactions
3 Replies
461 Views
Hawa viumbe lile shimo lao linafanya wakose na watukosee heshima wanaume na familia zao. Mwanamke mwenye akili timamu hawezi mvulia pichu mtoto wa shemeji yake ambaye alishiriki hadi kumlea. Hii...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom