Tafiti: Wanaume huvutiwa zaidi na wanawake Malaya (vicheche ) kuliko wanawake wastaarabu

IMG_0185.jpg
 
Hii ni kutokana kwamba psychologically mwanaume ameumbwa kupenda ngono hivyo huvutiwa zaidi na wanawake wanaoonekana kujua kusex zaidi. So mwnamke Malaya anaonekana kuwa na Experience zaidi ya sex hivyo humfanya avutie zaidi kwa wanaume.
Ila sio kuoa mkuu, mwanamke awe malaya na mtundu chumbani kitandani 😂😂😂
 
Wanawake wastaarabu wanafeli procedures za kuwapata tu!! Utahangaika mpaka unakata tamaa ila malaya ukigusa tu imooo...!! Thus why!! Utakuta wastaarabu hawaoleki ila ile migume gume inaolewa kila leo!!

Wanawake wastaarabu wengi kwa bed wanapat "F" wanaume wanawakimbia kwani hujaona nyuzi humu mtu analalamika demu alikuwa mkaliii kitandani kamkuta hajui kitu kiuno kigumu!! Thus why malay ni chaguo, mautundu mengi!!
 
Aisee hamjawahi kueleweka 🤔🤔🤔
🤣🤣🤣🤣Akili za kudate na kungonoka ndo tunataka wanawake anaowazungumzia mtoa mada mfano gigy money

Wakati wa kuoa sasa tunatumia kichwa Cha juu mwanamke ambae atakua potential, anaeweza kulea watoto, anaeweza hudumia mume, mwenye nidhamu asie na background mbaya mwenye akili za maisha etc
Bado hujaelewa?
 
Hapo sawa nimekuelewa
Bado sana😃😃😃
 
Back
Top Bottom