Matokeo ya utafiti

Azimio la kazi

Senior Member
Jun 7, 2023
138
451
Kumekuwa na majidala mingi sana juu ya size ya maumbile uume.

Wanawake wamefika mbali sana na kuanza kuita baadhi ya wanaume wenye uume mdogo kuwa ni vibamia.

Ukweli ni kwamba size nzuri na pendwa kwa wanawake nu kati ya 5.7 inch hadi 6 inch.

Japo kuwa wanaume walio chini ya size hiyo sio kwamba ni dhaifu hapana, SEMA inategemea na mwanamke ulikutana nae, pia uume ukiwa zaidi ya inch sita utafiti unasema kuwa mwanamke huwa hafurahi tendo.
Kwani urefu wa g spot ni kati ya inch 5 hadi 5.76 inch.

Disclaimer: Kila mwanaume aridhike na maumbile yake
 
Back
Top Bottom