Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukweli katika mapenzi tumetofautiana sana kitabia na mmoja wapo asipomjua mwenzie kwa undani zaidi basi mapenzi hayo hugeuka na kuwa karaha! Kwa mfano mimi changamoto nayokumbana nayo mara nyingi...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mbali ya ile kufumania/kufumaniwa. Inatokea paap unamkuta mupenzi wako yupo na mwengine na wana furaha na mazungumzo yalionoga ila unapotokea wanajaribu kukuchangamkia na kukujumuisha kwenye...
2 Reactions
5 Replies
400 Views
Nahitaj mwanamke yeyote umri sichagui lakin usiwe mnene, kwa ajili ya kuridhishana kimapenz tuu, tutasaidiana panapowezekana. Sihitaj mahusiano ni pale tunapohitajiana tuwasiliane tofaut na hapo...
2 Reactions
7 Replies
669 Views
Inasikitisha sana aisee, Nowdays mwanamke akikuonesha kukupenda ama akikutamkia "nakupenda" usimuamini. Lengo lake anataka tu umpatie mkuyenge Kuna binti alinionesha kunipenda nikaamua kuweka...
29 Reactions
134 Replies
8K Views
Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ni wiki ya nne tokea kuanza kumtia machoni. Wiki mbili tokea kumuona niliamua kumfungukia kuwa nampenda, yalinivuja maneno ya kila aina...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwa wale mlioweza kuwatoa mabinti huko vijijini na kuwaleta mjini, - kero ni zipi -raha ni zipi -mambo yapi ya kuzingatia -gharama -n.k.
3 Reactions
2 Replies
614 Views
Kila mtu ana Zamani yake. Zamani yenye kufarahisha na Kuleta kumbukumbu ya kujicheka mwenyewe samytimez. Miaka yetu tunabalehe, vijisimu vya goroka ndiyo vilikuwa vinachangamka, wale watoto...
19 Reactions
200 Replies
39K Views
Nilivyokua msichana nilikua nawaza mahusiano yangu vile yatakavyokuwa. Nilikua najiambia tutakua tunavaa sare mimi na mke wangu na watoto. Kila mwezi tunapita picha nzuri. Weekend moja moja...
7 Reactions
9 Replies
903 Views
Yani mwanaume anaku ask for a date halafu yeye mwenyewe anakwambia chagua any place you want unachagua anakupeleka then anakwambia order anything you want una order zako your food and wine then...
99 Reactions
504 Replies
22K Views
Huyu mzee atakuwa ameona nini?
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Bwana wee! Leo nikiwa zangu geto nimechili baada ya pilikapilika za week nzima si ndio nikakutana tena na hiki kituko. Ipo hivi hapa nilipo panga Kuna Binti ni pisi ya kwenda in general huyu...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa JF natumaini mmeamka salama kabisa na buheri wa afya. Pamoja katika ujenzi wa Taifa letu pendwa. Moja kwa moja kwenye mada halisi. Leo ningeomba mtazamo...
8 Reactions
506 Replies
35K Views
Hili swali naulizwa sana, “nawezaje kumfata mwanamke na kuongea naye?” mana naogopa. Mara nyingi huwa ni uoga wa utaonekanaje ukimfata alafu akakukataa. Wengine wakaniambia …haina haja ya...
5 Reactions
13 Replies
11K Views
Habari? Mimi ni baba wa watoto 2 na mke mmoja. Jumla home kwangu sasa tuko watu 7, wakubwa hasa ni Mimi na wife tu wengine ni watoto wadogo wa primary na kindergarten na wengine ni wadogo zaidi...
11 Reactions
68 Replies
4K Views
Kiroho sio Kisheria. Mwenyezi Mungu alisema wamekuwa mwili mmoja. Mnapokuwa tupu, alafu sehemu za siri zimeingiliana ndio tafsiri ya mwili mmoja hiyo. Hivyo watu wengi wana wake na waume rundo...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Habarini za muda huu wadau, Niende kwenye mada, mimi ni mwanaume nimeoa, ila nimemuacha mke wangu kwa takribani Kama mwaka hivi sjawah kukutana nae, ingawa ana mtoto mdogo wa miezi kadhaa. Sasa...
9 Reactions
641 Replies
49K Views
Naanza kwa kukazia "Ngono ni wajibu wa kutimizwa kwenye Ndoa..." Ngono katika ndoa sio fursa. Mpenzi wako ana HAKI kwa mwili wako - kisheria na kibiblia, hivyo ni makosa kunyimana. Tambua kuwa...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Wanandoa wenye furaha katika ndoa yao ni watu wanaoishi kwa ukaribu sana. Hapa sizungumzii kuhusu wale wa 'piga makalio kisha tufanye ngono.' Bali namaanisha wale wa kugusana kimwili mara kwa mara...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa...
46 Reactions
394 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…