Ukitafutwa na mwanamke au mwanaume aliyekopotezea kwa muda mrefu jua kuna kitu analenga

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
1. Ukiona muda mrefu umepita au mwanamke ambaye huwa hana kawaida ya kukutafuta amekutafuta. Ujue kinachofuata baada ya DEAR MAMBO, I MISS YOU. ni kuombwa Pesa. Ujue atakueleza shida flani kapata ghafla so anaomba umsaidie pesa. Mimi nina shahidi nyingi sana. Huwa nikiona demu nlikuwa namtafuta tuonane naye amekwepa kwepa. Kisha siku kanitafuta. Najua anataka kunipiga mzinga. Huyo namtolea mbavuni.

2. Ukiona mwanaume ambaye muda mrefu alikunyamazia. Kama haupo vile. Kisha ghafla anakusalimia na kuanza kukusifia sifia usiende mbali. Jua ana nyege anataka papuchi tu. Hana jipya. Either amemwagwa na aliyekuwa naye au aliyekuwa naye hayupo Duniani (yupo mwezini) so anataka apozee machungu kwako. Anataka papuchi tu hana jingine.


NAJUA UNAJUA ILA NAKUJUZA ZAIDI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom