Kama umewahi date na ke/me zaidi ya mmoja wanaotumia jina moja, karibu u-share tabia zao

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,406
Natumai hamjambo wakuu

Kama umewahi date na ke/me zaidi ya mmoja wanaoshare jina, karibu hapa kushare tabia zao, binafsi nimebahatika date na wana-oshare majina yafuatayao na hizi ndo tabia zao katika mahusiano:

1. Ester
Wanajua kupenda na kitandani wapo vizuri

2. Mariam/Maria
Wanawivu sana, waaminifu sana, wana maringo sana, wanapenda kupita kiasi pia ni wanatunza bikra

3. Elizabeth ni watiifu sana kwa wenza wao bt si waaminifu

4. Diana
Hawaombi pesa ovyo na wanawahudumia sana wenza wao, pia hawana aibu kueleza hisia zao

5. Happy
wanapenda sana sex, hawana aibu japo si waaminifu, pia hawaombi sana pesa

6. Anneth
Wana aibu sana, wanaupendo wa kweli, pia waaminifu na wanatunza bikra(means huchelewa kutolewa bikra)

NB: Kupitia kautafiti haka nimegundua watu wengi wanaoshare majina hufanana kitabia japo si wote.
 
Jesca

Dadekii hawa watu wanapenda sana sex hasa ukimkojoza ndo atakuwa anasumbua sana

Irene
Wapenda pesa sana ,bwana zaidi ya mmoja wanajua kiss, na romance

Jackline
sema wapole wakipenda wamependa kweli ,wengi ma barmaid halafu weupe

Veronica
In short unaweza ukawaita vero daah aisee dah sijawahi kutana na Dada anaitwa vero ambaye sio mlevi

Lucy
Wanapenda sex na wanabwana zaidi ya mmoja na mambo yao wanafanya chinichini hakuna anaejua na hawababaishwi na wanaume

Sasha
Ma slay Queen's

........
 
hapo kwenye happy ndo ukweli mtupu

ofcoz napenda sana sex(ngonosafi) sasa kina huyo happy alikua nae mpenda sexin short ni kama pipa na mfuniko vilikutana ni popote2 mabalaa iwe vchakani iwe ndani chumbani chooni yaani muda wowote ni kuamshana popo na ndo anapenda balaaa

nakukumbuka sana happy jamaniiiiii
 
Jesca

Dadekii hawa watu wanapenda sana sex hasa ukimkojoza ndo atakuwa anasumbua sana

Irene
Wapenda pesa sana ,bwana zaidi ya mmoja wanajua kiss, na romance

Jackline
sema wapole wakipenda wamependa kweli ,wengi ma barmaid halafu weupe

Veronica
In short unaweza ukawaita vero daah aisee dah sijawahi kutana na Dada anaitwa vero ambaye sio mlevi

Lucy
Wanapenda sex na wanabwana zaidi ya mmoja na mambo yao wanafanya chinichini hakuna anaejua na hawababaishwi na wanaume

Sasha
Ma slay Queen's

........
We mshkaji mbona umenitaja bila sababu aise 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
natumai hamjambo wakuu

kama umewahi date na ke/me zaidi ya mmoja wanaoshare jina, karibu hapa kushare tabia zao, binafsi nimebahatika date na wanaoshare majina yafuatayao na hizi ndo tabia zao katika mahusiano:

1. ester
wanajua kupenda na kitandani wapo vizuri

2. mariam/maria
wanawivu sana, waaminifu sana, wana maringo sana, wanapenda kupita kiasi pia ni wanatunza bikra

3.elizabeth
ni watiifu sana kwa wenza wao bt si waaminifu

4.diana
hawaombi pesa ovyo na wanawahudumia sana wenza wao, pia hawana aibu kueleza hisia zao

5.happy
wanapenda sana sex, hawana aibu japo si waaminifu, pia hawaombi sana pesa

6. aneth
wana aibu sana, wanaupendo wa kweli, pia waaminifu na wanatunza bikra(means huchelewa kutolewa bikra)

nb: kupitia kautafiti haka nimegundua watu wengi wanaoshare majina hufanana kitabia japo si wote.
number 4 nimekubali
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom