Kwanini kufanya mapenzi kunatutesa?

Kwanini kufanya mapenzi kunatutesa?

Utajua ujui

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2023
Posts
268
Reaction score
899
Hello,

Leo nimeamka nimewaza na kuwazua na walla sijapata jibu.

Kwanini kitendo tunachokiita mapenzi kufanyana kimekuwa kina nguvu sana kuliko kitu chochote kile duniani.

Imeonekana ni Dhambi ilhali sisi wenyewe tumeshindwa kujizuia katika hilo?
 
Mimi nadhani kinachotutesa wanaume wengi ni love na sio sex.

Sex ni kitu cheap, ukikojoa tu basi. Inauzwa sehemu yoyote ile muda wowote na mwanamke yoyote. Zipo hadi za 2k n.k

Ila love ni expensive kihisia, muda, attention, kuhudumia, kujali, kujitoa, huruma, msamaha, n.k

Kazi inakuja iliuenjoy sex lazima kuwepo na upendo. Sasa waletunaowapenda tufurahie nao sex ndio hao wanatutesa. Wanacheat, viburi, nyodo, na mengi maudhi. Mwishowe tunaishia kuwa broken heart.

Sijui huwa kuna nini katika hisia na miili zetu ukigundua unapendwa, lazima roho ya kiburi inakujia automatic.
 
Back
Top Bottom