Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake wengi wa sasa ni wapumbavu [emoji41] tunachotakiwa kufanya ni kuwachapa na kusepa tuu, maana wenyewe wanapenda sana pesa na kuishi maisha yalio nnje ya uwezo wao, kwahyo hapo lazima wauze...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Natafuta mke wakuoa mwenye umri kuanzia 32 mpaka 38, kabila lolote, Dini awe mkristu. Mimi nina umri wa miaka 35, mkristu pia, kazi ninayo awetayari kupima. Kwa mawasiliano zaidi karibu pm tuma...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu, habari yenu wakuu. Ndugu yenu mwenye life style mbaya na mwenye kujikatia tamaa baada ya kusomesha mtoto wakike kwa lengo la kumuoa na hatimaye kunipiga chini nilijikuta nikichukia...
7 Reactions
113 Replies
8K Views
Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi kama vile watoto na nyinginezo nyingi. Hata hivyo siku hizi, ndoa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunajua kumuelimsha mtoto wa kike kwa elimu bora pamoja na malezi mazuri, atakuja kuwa mkombozi bora katika familia yake. Bila kumpatia msingi mzuri wa elimu, pamoja na kumjengea hofu ya Mungu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
.
2 Reactions
6 Replies
632 Views
Bustani Yenye Manukato ya Furaha ya Kihisia (1886) na Muhammad al-Nafzawi , iliyotafsiriwa kwa Kingereza na Richard Francis Burton. zinazohusiana : Ngono . Miradi Dada.miradi dada : Makala ya...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Naombeni kuuliza, hasa wanawake wanaweza kuwa katika position nzuri sana. Inapotokea mume wako umemkuta na mtoto, ukakubali akakuoa na mkafanikiwa katika ndoa kupata nae mtoto...
2 Reactions
168 Replies
23K Views
Mzee wa miaka 50 ameamua kuwaita watoto wake wanne na kujilipua, watoto wake ni vijana wa kiume wenye umri wa miaka 29, 26 na wa kike wenye miaka 23 na 18. "Wanangu mimi baba yenu nataka kuoa mke...
22 Reactions
97 Replies
6K Views
Miaka kadhaa hapo nyuma nilibaatika kwenda California-san Fransisco & San Diego katika harakati za maisha nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana jinsi mahusiano ya wenzetu yalivyo Kwanza unakuta...
42 Reactions
143 Replies
8K Views
Ukiona Mama mwenye nyumba au yuyule Mama wa jirani na mume wako kila siku anakuambia kuhusu mume wako. Mara ana wanawake, kuwa makini atakuua na UKIMWI na mambo kibao. Hujawahi kumfumania mume...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za wakati huu.. Wakuu kila nikiwa na mazungumzo na wanawake wananiambia mimi ni mkali sana na ninaongea kwa msisitizo sana.. sijui tone ya sauti yangu imekaaje napo ongea nao japo mimi...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 34 natafuta single maza wa kuishi nae (kuoa) nipo mkoani Mbeya, nicheki inbox
5 Reactions
6 Replies
628 Views
Habari wadau Nimependa mfumo wa waarabu na wahindi jinsi ndoa zao zinavyokuwa Wazazi ndio wanawajibika kuwatafutia watoto wao Mke / Mume wanapofikia umri wa kuoa. Mfano tazama tangazo la Dr...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Toxic batchelor: Money Penny it's high time uwaambie hao madogo unaowaandikia ukweli kuhusu real love Tunasoma nyuzi zako tunacheka sana at the same time tunawahurumia Sana wanao comment Yani NI...
15 Reactions
224 Replies
13K Views
Nilikutana nae mara ya kwanza ndani ya Daladala za Mbezi mwisho .Nikamuomba namba ya simu baada ya salamu na maongezi akanipa. Tulipoachana nikampigia simu baada ya siku 2-3 nikamueleza ukweli...
48 Reactions
154 Replies
8K Views
Hivi umewahi kusikia kuwa hisia huambukizwa[emoji3480] Ndio, Hisia huambukizwa. Unadhani kwanini, Ukipokea simu ya taarifa mbaya Mzuka unaharibika? Yes, Unakuwa umeingia kwenye frequency ya...
10 Reactions
22 Replies
1K Views
Charles Paapa Kwabena Ebo Quansah David Asante Apeatu Ilikuwa ni mwaka 1998, wakati huo Nchi ya Ghana ikiwa inajiandaa na uchaguzi mkuu wa rais na wabunge wa mwaka 2000, ndipo nchi hiyo...
13 Reactions
26 Replies
6K Views
Katika dunia kuna kipindi tunapata furaha sana, Maisha yanakuwa ya amani na tunatengeneza kumbukumbu nzuri ya kuyafurahia maisha. Ila ajabu [emoji22]nyakati za furaha huwa hazidumu kabisa kwani...
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…