Wanangu, ninaamua kuoa baada ya mama yenu kuninyima tendo la ndoa

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Mzee wa miaka 50 ameamua kuwaita watoto wake wanne na kujilipua, watoto wake ni vijana wa kiume wenye umri wa miaka 29, 26 na wa kike wenye miaka 23 na 18.

"Wanangu mimi baba yenu nataka kuoa mke mwingine baada ya mama yenu kuninyima tendo la ndoa na hanijali."

"Huyu mama yenu kaninyima tendo la ndoa kwa miaka 3 sasa na nikimuuliza anajibu hajisikii ila nasikia sikia ana mtu huko' Sasa wanangu mi naona bora nioe mama yenu mdogo ili niweze kupata haki yangu kama baba."

Binti mkubwa 23 alipomuuliza mama kwa nini anamfanyia baba yake hivo nje ya kikao mama alikuja juu na kumshambulia mzee kwa kuwaeleza watoto Mambo kama hayo ambapo si maadili.

Je, ni sahihi watoto kujua mgogoro wa kunyimana tendo la ndoa kwenye familia?
 
Mzee wa miaka 50 ameamua kuwaita watoto wake wanne na kujilipua, watoto wake ni vijana wa kiume wenye umri wa miaka 29,26 na wa kike wenye miaka 23 na 18

"Wanangu mimi baba yenu nataka kuoa mke mwingine baada ya mama yenu kuninyima tendo la ndoa na hanijali"

" Huyu mama yenu kaninyima tendo la ndoa kwa miaka 3 sasa na nikimuuliza anajibu hajisikii ila nasikia sikia ana mtu huko' Sasa wanangu mi naona bora nioe mama yenu mdogo ili niweze kupata haki yangu kama baba"

Binti mkubwa 23 alipomuuliza mama kwa nini anamfanyia baba yake hivo nje ya kikao mama alikuja juu na kumshambulia mzee kwa kuwaeleza watoto Mambo kama hayo ambapo si maadili .

Je ni sahihi watoto kujua mgogoro wa kunyimana tendo la ndoa kwenye familia?
Mzee kwa hekima ndogo niliyokuwa nayo kuhusu mambo ya ndoa aisee mm naona sio sahihi unachofanya, watoto hawapaswi kuingizwa kweny migogoro yenu haswa ukizingatia ni swala sensitive kama hilo. Unajiaibisha ww na mke wako kwa watoto wenu.
 
kwa kweli na sisi wamama baadhi ya wakati huwa tunawaweka majaribuni hawa waume zetu.

Tena mimi namuona hodari kuwa na uvumilivu wote huo na baadae kuita kikao na kuwaelezea wanawe sababu za kuoa mke mwingine.

Mzee ni mstaarabu sana na anastahili pongezi.
 
Mzee wa miaka 50 ameamua kuwaita watoto wake wanne na kujilipua, watoto wake ni vijana wa kiume wenye umri wa miaka 29,26 na wa kike wenye miaka 23 na 18

"Wanangu mimi baba yenu nataka kuoa mke mwingine baada ya mama yenu kuninyima tendo la ndoa na hanijali"

" Huyu mama yenu kaninyima tendo la ndoa kwa miaka 3 sasa na nikimuuliza anajibu hajisikii ila nasikia sikia ana mtu huko' Sasa wanangu mi naona bora nioe mama yenu mdogo ili niweze kupata haki yangu kama baba"

Binti mkubwa 23 alipomuuliza mama kwa nini anamfanyia baba yake hivo nje ya kikao mama alikuja juu na kumshambulia mzee kwa kuwaeleza watoto Mambo kama hayo ambapo si maadili .

Je ni sahihi watoto kujua mgogoro wa kunyimana tendo la ndoa kwenye familia?
 
Mzee kwa hekima ndogo niliyokuwa nayo kuhusu mambo ya ndoa aisee mm naona sio sahihi unachofanya, watoto hawapaswi kuingizwa kweny migogoro yenu haswa ukizingatia ni swala sensitive kama hilo. Unajiaibisha ww na mke wako kwa watoto wenu.
Ili baadaye waje wamtenge baba yao kwa madai alimnyanyasa mama yao?Unawajua akina mama kwa uongo na kujilizaliza kwa watoto ili waonewe huruma?Kujilizaliza huko na uongouongo kwa watoto ni "rushwa" mbaya kabisa ambayo uharibu akili za wanaowasikiliza na kumuumiza baba anayeamua kukaa kimya ili kutunza heshima ya familia/ndoa.Women,the best of the good liars!
 
Mzee ameona awaeleze watoto sababu ya kutaka kuoa kwa maana wakina mama hawakawii kukuchongea kwa watoto wao ili uonekane hufai, me naona yupo sahihi kabisaa ili watoto wajue sababu ya mzee wao kutaka kuoa.
 
Ili baadaye waje wamtenge baba yao kwa madai alimnyanyasa mama yao?Unawajua akina mama kwa uongo na kujilizaliza kwa watoto ili waonewe huruma?Kujilizaliza huko na uongouongo kwa watoto ni "rushwa" mbaya kabisa ambayo uharibu akili za wanaowasikiliza na kumuumiza baba anayeamua kukaa kimya ili kutunza heshima ya familia/ndoa.Women,the best of the good liars!
Nakuunga mkono
 
Back
Top Bottom