Hivi umewahi kusikia kuwa hisia huambukizwa[emoji3480]

Bachelor ll

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
3,562
6,119
Hivi umewahi kusikia kuwa hisia huambukizwa

Ndio,

Hisia huambukizwa.

Unadhani kwanini,
Ukipokea simu ya taarifa mbaya
Mzuka unaharibika?

Yes,
Unakuwa umeingia kwenye frequency ya
hisia husika na automatically,
utabehave kwa level hiyo.

Na hivi ndivyo.
Hisia huambukizwa.

Ndo maana, watu wengi waliolelewa na watu wenye hasira hasira,
Wanajikuta wamebeba baadhi ya mambo hayo.

Nitakupa mfano mmoja:

Kama una-date na mtu ambae ni moody,
Yaani…
.
Jambo dogo kanuna,
.
Jambo dogo haongei,
.
Jambo dogo umeblokiwa,
.
Jambo dogo hupati mzigo,
.
Jambo dogo lazima ujieleze.
.
Jambo dogo utaomba msahama mwezi mzima.

Hawa watu waliojaa hasira na huzuni usoni,
Watakuambukiza maisha yao.

Na kama kila siku unalala nao na kuamaka nao,
Ndo unawaona wao zaidi.
UTAFANANA NAO KIHISIA.
Watakuambukiza.

Nakupa mfano mwingine:
Unaweza ukawa na siku nzuri kabisa.
Lakini ukipigiwa simu na mwenza na akamind,
Kwa jambo lolote lile,
Siku yako inaweza kuwa imeharibikia hapo.

HISIA NI AMBUKIZI.

Sasa imagine wewe umeoa au kuolewa na moody na sadist.

Hapo sasa kimbembe.
Kama mwenza wako yeye muda mwingi kanuna,
Yaani muda mwingi hata hujakosea lakini,
Hamuongei nyumbani.

Hapo na wewe taratibu siku zako zinaanza kuwa za huzuni kwa sababu,
Unaathiriwa na hisia na mtu unaeishi nae.

Epuka sana kudate na moody au morose.
Kwepa, ni aheri kuwa single.

Utaharibu furaha ya maisha yako bure.
Hata ukiwa strong vipi,
Atakuja na to mood zake na atakuharibia siku.

Tunza muda na energy yako.
Chagua watu wanaokupa,
Positive energy maishani.

Ukiwa na mtu anaekupa hisia za:

Furaha,
.
upendo,
.
mafanikio,
.
tumaini,
.
ushindi,

Na wewe utakuwa mtu wa furaha, amani na upendo.

Narudia tena.
Hisia huambukizwa.
Ogopa kudate na moody,
Atakuambukiza huzuni.

Linda Muda na Energy yako.
You derseve better.

#Credit Millambo from X there
 
Sio kuambukiza hisia hubadili character na behaviour za mwenza ili kuweza kuishi nae vizuri hiyo ni nature ya binaadamu..........
 
Ina ukweli na ukakasi pia;
Kwa nini kuna taarifa inaweza kuwa mbaya kwako na kwa mwingine ikawa shangwe?

Mfano, alipoondoka Mh Magufuli kuna idadi kubwa sana ya watu walifurahi mno huku wengine wakihuzunika.

Nadhani ungesema kwa watu wenye frequency ya hisia zinazoelekeana juu ya jambo fulani.
 
Nilikuwa na swali..

Mfano mtu kakupigia simu ana furaha zake ww upo na majanga yako jeje na yeye atakupa furaha? Atakuambukiza furaha? Au hayo maambukizo ni kwa hisia HASI tu?

Maana mfno nimekaa zangu natathmini mkopo kausha damu naumalizaje nimevurugwa, alafu wewe unanipigia simu unacheka cheka upo sehemu ya bata huko unalewa je utaambukiza hizo hisia na mimi nijione kama wewe?
 
matter POINT.
 
Dah mie nkikaa jirani na mpiga miayoo NAMI napiga miayoo zaidi ya jirani
Siyo kwamba wote mnakuwa kwenye mazingira yanayosababisha mtu kupiga miayo? eg. hewa nzito? Ni kama kusinzia. Mnaweza kuwa mko darasani mkaanza kusinzia watu wengi. Je , mnaambukizana? Sidhani. Nadhani ni kwa sababu wote mko ndani chumba kimoja chenye hali ya hewa nzito hivyo kusinzia ni rahisi zaidi.
 
Hivi umewahi kusikia kuwa hisia huambukizwa

Ndio,

Hisia huambukizwa.

Unadhani kwanini,
Ukipokea simu ya taarifa mbaya
Mzuka unaharibika?

Yes,
Unakuwa umeingia kwenye frequency ya
hisia husika na automatically,
utabehave kwa level hiyo.

Na hivi ndivyo.
Hisia huambukizwa.

Ndo maana, watu wengi waliolelewa na watu wenye hasira hasira,
Wanajikuta wamebeba baadhi ya mambo hayo.

Nitakupa mfano mmoja:

Kama una-date na mtu ambae ni moody,
Yaani…
.
Jambo dogo kanuna,
.
Jambo dogo haongei,
.
Jambo dogo umeblokiwa,
.
Jambo dogo hupati mzigo,
.
Jambo dogo lazima ujieleze.
.
Jambo dogo utaomba msahama mwezi mzima.

Hawa watu waliojaa hasira na huzuni usoni,
Watakuambukiza maisha yao.

Na kama kila siku unalala nao na kuamaka nao,
Ndo unawaona wao zaidi.
UTAFANANA NAO KIHISIA.
Watakuambukiza.

Nakupa mfano mwingine:
Unaweza ukawa na siku nzuri kabisa.
Lakini ukipigiwa simu na mwenza na akamind,
Kwa jambo lolote lile,
Siku yako inaweza kuwa imeharibikia hapo.

HISIA NI AMBUKIZI.

Sasa imagine wewe umeoa au kuolewa na moody na sadist.

Hapo sasa kimbembe.
Kama mwenza wako yeye muda mwingi kanuna,
Yaani muda mwingi hata hujakosea lakini,
Hamuongei nyumbani.

Hapo na wewe taratibu siku zako zinaanza kuwa za huzuni kwa sababu,
Unaathiriwa na hisia na mtu unaeishi nae.

Epuka sana kudate na moody au morose.
Kwepa, ni aheri kuwa single.

Utaharibu furaha ya maisha yako bure.
Hata ukiwa strong vipi,
Atakuja na to mood zake na atakuharibia siku.

Tunza muda na energy yako.
Chagua watu wanaokupa,
Positive energy maishani.

Ukiwa na mtu anaekupa hisia za:

Furaha,
.
upendo,
.
mafanikio,
.
tumaini,
.
ushindi,

Na wewe utakuwa mtu wa furaha, amani na upendo.

Narudia tena.
Hisia huambukizwa.
Ogopa kudate na moody,
Atakuambukiza huzuni.

Linda Muda na Energy yako.
You derseve better.

#Credit Millambo from X there
Unanikumbusha ex wangu. Haiishi siku bila kutupia maneno. Yeye ile hali ya kununiana ndiyo mapenzi.
 
Ni kwel kabsa mkuu ,ata ukikaa na watu 9 wenye fikra za kimaskini wewe una kuwa maskini wa kumi, ndio maana halisi ya kuwa na mitaa ya matajiri tu na maskini ,hii ipo automatic.
 
Back
Top Bottom