Mimi ilikuwa smartphone kipindi hicho nipo sekondari
Nilipataga hela sehemu nikaenda kuinunua hiyo smartphone nikawa naificha kwenye viatu alafu hivyo viatu nikaweka juu ya kabati
Siku hiyo Bi...
Yani jana Kuna dogo nimemnunua hapo mjini moshi ni majanga.
Yani mikosi haiishi nimechukua majanga matupu, kupoteza vitu, bahati imekua mbaya sana, mpaka sasa ni hasara tuu, Kila nitakachogusa...
KUMEKUCHA KUMEKUCHA MWENZETU ANASHARE KISA CHAKE
TUIITE MPENZI MZUNGU NO 1
STORY TIME[emoji23][emoji23]
Hekaheka za maisha kutafuta riziki za ndoa kwenye dating app miaka miwili ilopita...
Shikamoon wakubwa
Mwishoni mwa mwaka Jana niliweka mipango yangu kuwa ifikapo tarehe 5 Mwezi wa Kwanza niwe nimeshalipa chumba changu,ikiwa ni njia ya kujitegemea, wazazi wangu ,haswa mama...
Salaam jamiiforum.
Ni April 19 leo mwaka 2026,
Siku zinakimbia, yaani bado siku kadhaa tu iadhimishwe siku ya wafanyakazi,bado wiki chache kufikisha nusu mwaka.
Ama kweli siku hazigandi.
Cha...
Mabinti, hasa nyie wadogo wa alfu mbili, hata akuambiaje, Usijichanganye kumzalia mtoto.
Hakuna jukumu kubwa kwenye maisha zaidi ya kuzaa na kulea watoto. Mwanaume akikuambia bado hayuko tayari...
Angalizo: andiko hili linaweza kuwa na lugha ngumu na Kali. Hivyo kama wewe sio mpenzi, unahasira, au ukisikia lugha ngumu unakereka, unapoteza furaha, unahisi kudhalilika au kupoteza heshima...
Na mwanaume nae alivyo mjinga tena mwalimu eti anakili mbele ya kanisa na mbele ya wanafunzi wake eti nilitembea na huyo binti na naomba nisamehewe, si ni usimp huu na ufala? Yaani licha ya...
Sifa zake
● Awe mrefu kiasi
● Umri kuanzia miaka 28 hadi 31
● Awe muajiriwa au amejiajiri
●Dini yeyote.
● Kabila lolote
● Awe na mtoto mmoja
Sifa za mtafutaji
●Mrefu mweusi kiasi
●Mpole kiasi
●...
Wakuu naomba nielewe kidogo bila kubishana 😅
Je ni kweli wanawake wengi wanapenda pesa, au ni kauli tu ya watu waliopitia experience tofauti na wale wanaotafuta excuses na faraja ya umasikini wao...
Natafuta rafiki wa kike, kabila yoyote, kuanzia miaka 40-50. Dini yoyote, mfanyabiashara au mwajiriwa. Naishi Dar.
Nina miaka 50, mwanaume, urefu wa kati, maji ya kunde. Msukuma na Mjita. Mzaliwa...
Katika haya maisha sikuwa najua kitu hicho kama kinaweza kukufilisi kabisa
ila baada ya kushuhudia mtu aliyekua anamiliki maduka mawili ya vinywaji vya jumla kurudi kuuza matikiti ya vipande...
Zamani hr wengi ni wanaume basi unakuta ukitaka kazi unatoa rushwa ya ngono unapewa kazi huyo ni mwanamke , sasa mwanaume anatoa hongo ya pesa anapewa kazi .
Kwa miaka hii haki sawa wanaume na...
Usishawishike kama bado haujajipata.Tafuta kwanza pesa ya kukimu ww binafs.Ndiyo uwez kujikimu na mwenzio. ndoa nzuri tatizo watu wanakurupuka.Na hao...
Poleni wote na Mungu azidi kuwatia nguvu wale wote mliopoteza ndugu na jamaa Hakika Mungu akawafariji kipindi hiki kigumu
Mimi nae mapenzi yataniua na stress Kila napogusa hola 🥹
Nina penzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.