Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heri ya X-mass in advance Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali...
54 Reactions
247 Replies
17K Views
Jamiinimetushape kwamba ndoa ni kitu cha lazima sana vinginevyo hamna urafiki,mapenzi au mahusiano ya namna yoyote kati ya me na ke Na hii ndo inasababisha ndoa nyingi kuwa za hovyo kuliko...
48 Reactions
322 Replies
5K Views
Leo nimerusha vaibu kwa demu nnayemmaind.kanichenjia kinoma ameniambia nimkome. Hata nashindwa ni kiherehe gani ilinipeka kwake.saiv kan...
6 Reactions
13 Replies
328 Views
Miaka hio tukiwa kwenye 20s hii pisi haikuwa type ya kawaida, kuitongoza unywe maji koo liyakauka na huambulii kitu, kichwani smart anajijua ni mashine yenye hadhi ya watu wa aina flani, n.k...
20 Reactions
71 Replies
1K Views
Habari za leo wana jamvi, tafadhali msaidie rafiki hapa, kama bandiko lake linavyoeleza... Nimeolewa miaka mitatu iliopita na mume wangu ni dereva wa bolt. Tatizo kubwa alilo nalo ni hajitumi...
15 Reactions
92 Replies
2K Views
Uzi tayari wakuu!
0 Reactions
6 Replies
142 Views
MREJESHO Habari ndugu ZANGU...NADHANI...nilileta Uzi ulisema. MKE WANGU KAACHA NDOA YAKE KISA KAZI.. .. ... Leo nawaletea MREJESHO... Baada ya Mwanamke kuondoka kusikojulikana,,huko alipokuwa...
12 Reactions
103 Replies
2K Views
Natumai mumeamka salama wakuu! Wazee juzi Jumapili nipo kwenye pub moja hivi napiga bia na nyama choma kiasi kwaajili ya kumalizia wikiendi yangu vizuri sikutaka kutoka na mwanamke siku hiyo ili...
74 Reactions
238 Replies
24K Views
Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana...
55 Reactions
650 Replies
138K Views
Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa...
64 Reactions
312 Replies
13K Views
Kwa mimi nahisi ukiwa na mwanamke mwenye maono itakusaidia kutojisahau kwamba utajikuta kila ukitaka kurudi nyuma mke anakupush kimawazo, changamoto nk huku ukiwazia familia hiyo yote itakufanya...
3 Reactions
6 Replies
188 Views
Mwanaume unayependa kuchepuka na wake wa watu n dhaifu.Kwan umeshindwa kutafuta mke wako ndo ukanyemelee vya watu. Utahudumia familia isiyo yako na mwishowe hawatakutambua.familia itakayo...
2 Reactions
2 Replies
253 Views
Nilicho gundua ndoa nyingi zime kufa mda mrefu sana ila watu wana pretand kama bado wapo pamoja Hii baada ya kuambiwa mwenyekiti wa jumia yetu na mkewe wamegawana vyumba lakn kwa watu wanaonesha...
9 Reactions
35 Replies
554 Views
Kama unazaidi ya miaka 35 na bado unapambana na wanawake wanaotaka pesa ya kucha, kope, nywele, nguo, chakula, gesi, vocha, kodi ya pango, na bando; juwa hauko siriazi na maisha, badilika haraka...
17 Reactions
27 Replies
495 Views
Kuna viashiria gani mwanaume/mwanamke huvionyesha ili ufahamu kuwa anakupenda kwa dhati?
3 Reactions
3 Replies
134 Views
Siku hizi, kuna mjadala mzito kwa vijana: "Kaa nyumbani mpaka ujiweke vizuri kifedha au ondoka mapema ili upambane na maisha?" Wazazi wetu walikuwa wanaheshimu sana mfumo wa mtoto akae nyumbani...
3 Reactions
11 Replies
897 Views
Kusema kuwa sijijui kuwa natengeneza bomu ambalo litakuja kunilipua mwenyewe nitakuwa nadanganya ila maksudi kabisa natengeneza na ipo siku kweli litanilipukia, stori iko hivi Mimi ni mwanaume...
1 Reactions
14 Replies
368 Views
Kadada kametunzwa na kujitunza, kamevutia macho na ukaona anafaa kuwa wa ndani, ukirejea kwenye mihangaiko upate pumziko na mfanye maisha. Ukaoa. Sasa baada ya kukaweka ndani, unategemea...
13 Reactions
36 Replies
718 Views
Nimeona jambo hili kwa baadhi ya wanawake, hasa wale waliotoka kwenye ndoa Zenye changamoto. Mwanamke anapokuwa kwenye ndoa yenye changamoto labda ameumizwa, amepuuzwa, amenyanyaswa au hakupata...
9 Reactions
25 Replies
632 Views
Baada ya kwenda home kusalimia kwenye moja ya mkoa wa kaskazini, nikasema nikatembee kwa siku 7 upande wa kenya, Nikaanzia taveta then nikaenda Voi,kimana then leitoktok. Nilichogundua wanawake...
10 Reactions
45 Replies
1K Views
Back
Top Bottom