Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,920
- 3,757
Usishawishike kama bado haujajipata.Tafuta kwanza pesa ya kukimu ww binafs.Ndiyo uwez kujikimu na mwenzio. ndoa nzuri tatizo watu wanakurupuka.Na hao baadaye ndio wanaosema ndoa ni mbaya.