Huo ndio ukweli na utabakia hivyo hadi kiyama.
Japo mtakuwa kila mtu na wake lakini, kuna kitu kinabakia na uhakika wake. Na unaposhindwa au mnaposhindwa mnajikuta mnaingia matatani.
Yaani...
Hello guys.
Hakuna jambo zuri na kubwa maishani upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu, yaani akupende haswa.[emoji7][emoji7]
Mungu wangu, utake nini kwa Dunia hii mwanamke...
Ndoa sio upendo ila ni kuheshimiana na kuiheshimu ndoa.
Naongea na wanaume wenzangu pamoja na wanawake, kama wewe unahisi huwezi kuiheshimu ndoa basi nakushauri endelea na uhuni wako tu...
Habari naitwa flavian natafuta mke wa kuoa. Umri wangu nikati ya 36-39. Nimejiajiri, dini mkristu.
Mke awe mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia 33 na kuendelea.
Kwa mawasiliano zaidi PM au ni...
Nimeshindwa imebidi niwe nafanya kazi za nje tu ,siwezi siwezi siwezi ,nafukuzwa maana uvumilivu kusema kweli sinao ,wote nawaona warembo.
Sijui wenzangu mnawezaje kuwepo maofisini na kufanya...
KIKAO CHA WANAUME.
Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..
Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya..
Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu...
Habari wakuu🖐
Nitaifupisha kwa kadri ya uwezo wangu.
Kama miezi mitano iliyopita kuna demu flani hv nilikuwa na mahusiano naye(anaishi mkoani), huyu demu alikuwa ana boyfriend wake huko mkoani...
Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu
Ila kwa upande wangu...
Naandika haya hasa kwa wale ambao tumetoka familia ambazo hazieleweki na hazina kipato cha kueleweka. Ukiona haya mambo acha kuoa kabisa kwani utaendeleza umaskini kizazi hadi kizazi (...
Nisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo...
Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana!
Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k.
Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili?
Tukiuza chini huwa...
Guys
Kitu gani mpaka leo umejifunza katika ulimwengu wa kimahusiano/mahusiano na kimekuwa somo kubwa sana unahitaji kizazi kijacho wajifunze katika hilo.
Nimejifunza kwenye mapenzi kuna usaliti...
Shemeji mtarajiwa anachangamoto ya kuongea uongo. Yani story moja ya uongo akibanwa anabadilisha nyingine ambayo nayo ni ya uongo, akibanwa anabalisha tena mpaka akiona yamemfika shingoni ndiyo...
Hii haikubaliki kabisa, kwa mtindo huu mbona tutapoteza pesa nyingi kusiko julikana, serikali mje mtuokoe huu ni utapeli wa kimahaba.
Anyways: Anayejua hii saloon ilipo aseme nasisi tukaone kama...
Habari za wakati huu wana jukwaaa.
Weeks kama mbili zilizopita nilipata mchongo flani hivi wa kazi asa katika pitapita zangu za hapa na pale kuna kidemu nikakutana nacho nikawa nimekielewa.
Si...
Habari zenu.
Moja kwa moja kweny point.
Madam Donatila ameanzisha uzi leo ambao unasema;
Mapenzi ya pesa yameharibu utamu mapenzi
Bac mm kwa sababu nilikuwa nina mawazo ambayo yako tofauti...
Boss la DP World leo nikaenda saloon kujiandaa kwaajili ya kuhudhuria kwenye hafla moja ya heshima sana. Baada ya kumaliza kupunguza nywele nikaelekezwa kwenye chumba kwa madai ya kwenda kuosha...
Nawasalimu kwa salaamu pendwa,ya kitaifaaa.
Kazi iendeleee.
Endelea na kazi ya kukitafuta hicho kitu kwa mchepuko, lakini kumbuka Kuna mtu KAKIONA kwa mkeo.
Na tukumbushane tu kuwa, ukisema cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.