Usioe wala kuolewa kama wewe ni muhuni

Usioe wala kuolewa kama wewe ni muhuni

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,902
Ndoa sio upendo ila ni kuheshimiana na kuiheshimu ndoa.

Naongea na wanaume wenzangu pamoja na wanawake, kama wewe unahisi huwezi kuiheshimu ndoa basi nakushauri endelea na uhuni wako tu.

Usiolewe wala kuoa kwasababu ya kupewa tendo, pesa n.k bali owa/kuolewa kwasababu ya Mungu wako unaemuamini. Mambo ya kihuni hayapaswi kuletwa kwenye ndoa kwani mnawatisha vijana wadogo mpka wanafikia hatua ya kusema Kataa Ndoa.

Kwa nchi za waislamu ukizini nje ya ndoa kuna hukumu yake nzito, ndio maana ni nadra kuona nchi za Kiislamu/Waarabu watu wakizini nje ya ndoa.

Natamani kungekuwa na hukumu kubwa kwa wahuni/malaya wote wanaoichezea sekta muhimu ya ndoa.

Usichezee Ndoa.

Ndoa ni Taasisi Muhimu.
 
Ndoa sio upendo ila ni kuheshimiana na kuiheshimu ndoa.

Naongea na Wanaume wenzangu pamoja na Wanawake, kama wewe unahisi huwezi kuiheshimu ndoa basi nakushauri endelea na uhuni wako tu.

Usiolewe wala kuoa kwasababu ya kupewa tendo, pesa n.k bali owa/kuolewa kwasababu ya Mungu wako unaemuamini. Mambo ya kihuni hayapaswi kuletwa kwenye ndoa kwani mnawatisha vijana wadogo mpka wanafikia hatua ya kusema KATAA NDOA.

Kwa nchi za waislamu ukizini nje ya Ndoa kuna hukumu yake nzito, ndio maana ni nadra kuona nchi za kiislamu/Arabu watu wakizini nje ya ndoa.

Natamani kungekuwa na Hukumu kubwa kwa wahuni/Malaya wote wanaoichezea Sekta muhimu ya ndoa.

USICHEZEE NDOA.

NDOA NI TAASISI MUHIMU.
Wanawake wa sasa wanafanya ndoa kuwa ngumu na kutodumu.
 
Kwani wewe ni nini Haswa Inaumaa??wewe pambana na yako Kwa kuwa kila MTU anayakwake hatuwezi fanana wala kuwa Sawa hata siku moja na hii ni tangu ulimwengu kuumbwa na Hadi utakapahatika kuisha!!
 
Kwani wewe ni nini Haswa Inaumaa??wewe pambana na yako Kwa kuwa kila MTU anayakwake hatuwezi fanana wala kuwa Sawa hata siku moja na hii ni tangu ulimwengu kuumbwa na Hadi utakapahatika kuisha!!
Mwambia asitulazimishe..
Kila mtu abaki anaposhahili mwisho!!
#KataaNdoa ndio slogan kuntu, no shobo, sheria mkononi...

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo matrakoo mkuu yaani labda ufunge kitambaa usoni mchana mzima la si ivo unavuta mmoja pembeni na ukicheki mama yoyoo ana flat screen watatuua bure.

Maoni yangu jamii nzima tuuliwe ije jamii mpya huenda wakawa vizuri kwenye maadili na kulinda ndoa
 
Wanawake wamefanya wanaume wakatae ndoa
 
Back
Top Bottom