Real Loves Never Die

Real Loves Never Die

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Huo ndio ukweli na utabakia hivyo hadi kiyama.

Japo mtakuwa kila mtu na wake lakini, kuna kitu kinabakia na uhakika wake. Na unaposhindwa au mnaposhindwa mnajikuta mnaingia matatani.

Yaani mnapokutana inakuwepo hali flani ya kimahaba, labda hukuwahi kupenda ulipokuwa shuleni.
Ila hayafi hata sijui nieleze vipi?

Labd wadau mnaweza kuueleza ukweli huo.
 
Sis wadau tunasema yanakufaaa kifo chaaaa mendeeeeee
 
Kuna demu niliwahi mtongoza akaniambia the first love is a true love.
True love ya nyoko.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sure, Real Love never die and never Existed. With exception of Mine😜
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom